Ni mimi pekee naona huduma za mitandao zinasumbua?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls.

Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
 
1768996611908.png
 
Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls.

Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
Sio wewe peke yako boss. Tokea hii funga funga ya twitter na mitandao mingine ianze mitandao imekuwa ya hovyo sana. Ukipiga simu inaita kwa kukwaruza, akipokea sauti inasikika kwa shida, muda mwingine simu inasearch kwa muda mrefu kabla haijaanza kuita au isiite kabisa. Internet nayo hovyo kabisa, yaani hata kuview status WhatsApp ni shida, video hazifunguki au zinafunguka kwa shida. Kiufupi huyu samuya na genge lake wameharibu kila kitu nchi hii
 
Inakera mdogo ndugu yangu na pesa tunakatwa ya kutosha duuh, bndo lenyeewe linapepea na upepo
 
Internet ambayo niliwahi kutumia nikafurahia ni TTCL tu,
 
Back
Top Bottom