Hamna mkate mgumu mbele ya chai.
Uzinzi na umaskini ni Pete na kidole kwa MwafrikaKuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela.
Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi ninetoa laki 2,
Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile hela ambayo ingeenda kutumika huko, ila bado naona ugumu kuitumia kwa lile jambo la 60. Why kwa ke nilikua radhi kulaza laki mbili?
We mhehe sijui mbena umekuwa mtumwa wa K, yaani alivyokuona tua Kodi ikaisha??๐๐Kumbe binti kodi yake ilikuwa inakaribia kuisha chumba akaacho ni sh 50000 ( kwa mujibu wake ) na yeye alikuwa nayo 100,000/= kama rafiki yake kaomba nimsaidie 50,000/= tu
Pisi utaipiga lkn ukiwa umetoboka sana na utaendelea kutoboka sana hakuna kuchoka ๐Hauko peke yako ,,, IRUWASA walinipa bill ya maji mapema tu kwa njia ya sms wakinitaka nilipe bill ya maji kiasi cha sh 34,400/= kabla ya tarehe 25 ili kuepuka usumbufu utakao jitokeza .. siyo kwamba sikuwa na pesa mbaka muda huo n..
Naona umeamua kumfariji mwamba.Hauko peke yako ,,, IRUWASA walinipa bill ya maji mapema tu kwa njia ya sms wakinitaka nilipe bill ya maji kiasi cha sh 34
Baadae akizeeka ataanza kulaumu watoto hawampi matunzo wakati pesa za ujana wake kamalizia kuhonga mademu kodi.Pisi utaipiga lkn ukiwa umetoboka sana na utaendelea kutoboka sana hakuna kuchoka ๐
Laki 2 tu umekuja hapaKuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela.
Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi ninetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile hela ambayo ingeenda kutumika huko, ila bado naona ugumu kuitumia kwa lile jambo la 60.
Why kwake nilikua radhi kulaza laki mbili?
Ni weww mwenyewe mkuu๐Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela.
Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi ninetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile hela ambayo ingeenda kutumika huko, ila bado naona ugumu kuitumia kwa lile jambo la 60.
Why kwake nilikua radhi kulaza laki mbili?
KashesheHauko peke yako ,,, IRUWASA walinipa bill ya maji mapema tu kwa njia ya sms wakinitaka nilipe bill ya maji kiasi cha sh 34,400/= kabla ya tarehe 25 ili kuepuka usumbufu utakao jitokeza .. siyo kwamba sikuwa na pesa mbaka muda huo nasoma hii mesegi lakini akili ya nyangu ikawa nzito kufanya maamuzi ya kwenda kulipa ... Juzi nikiwa napita maeneo ya Chuo cha RUCU nikakuta na binti mmoja mzuri ambaye alifanikiwa kuiteka akili yangu hata hunipelekea niombe namba ili tufamiane zaidi ... Haulaa leee salalee
Kumbe binti kodi yake ilikuwa inakaribia kuisha chumba akaacho ni sh 50000 ( kwa mujibu wake ) na yeye alikuwa nayo 100,000/= kama rafiki yake kaomba nimsaidie 50,000/= tu
...hivyo ili asije niona mkono wa birika au mwanaume bahari kweli nimempa hiyo 50,000 aliyoitaji,,,,,na hapa namcheki mshikaji wangu fulani anikope 30,000/= wasije kukata maji wapuzii wa iruwasa ... Japo roho imeniuma sanaaa na kwa kweli kwa namna fulani nimejidharau sanaa kwa maumizi yangu ila nimejifariji kwa kujiambia nikisha piga hii pisii naisukumia huko siiitakii tenaaaaa nimesema ...
Unahasira sana mkuu๐ ๐your stupidy mangoooooes
Maumivu yakizidi muone daktari mkuu, wewe na mleta mada.Hauko peke yako ,,, IRUWASA walinipa bill ya maji mapema tu kwa njia ya sms wakinitaka nilipe bill ya maji kiasi cha sh 34,400/= kabla ya tarehe 25 ili kuepuka usumbufu utakao jitokeza .. siyo kwamba sikuwa na pesa mbaka muda huo nasoma hii mesegi lakini akili ya nyangu ikawa nzito kufanya maamuzi ya kwenda kulipa ... Juzi nikiwa napita maeneo ya Chuo cha RUCU nikakuta na binti mmoja mzuri ambaye alifanikiwa kuiteka akili yangu hata hunipelekea niombe namba ili tufamiane zaidi ... Haulaa leee salalee