Ni mimi pekee ndiyo nina maamuzi ya kijinga?

Ni mimi pekee ndiyo nina maamuzi ya kijinga?

Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela.

Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile hela ambayo ingeenda kutumika huko, ila bado naona ugumu kuitumia kwa lile jambo la 60.

Why kwake nilikua radhi kulaza laki mbili?
Kichwa Cha chini ni hatari kikikuongoza katika maamuzi ogopa sana
 
Jitahidi usikae mda mrefu na nyege, jitahidi uwe na mademu wawili watatu changanya na marafiki wengi wengi wa kike ambao wanaweza kukubless ukijieleza vzr
 
Back
Top Bottom