Hauko peke yako ,,, IRUWASA walinipa bill ya maji mapema tu kwa njia ya sms wakinitaka nilipe bill ya maji kiasi cha sh 34,400/= kabla ya tarehe 25 ili kuepuka usumbufu utakao jitokeza .. siyo kwamba sikuwa na pesa mbaka muda huo nasoma hii mesegi lakini akili ya nyangu ikawa nzito kufanya maamuzi ya kwenda kulipa ... Juzi nikiwa napita maeneo ya Chuo cha RUCU nikakuta na binti mmoja mzuri ambaye alifanikiwa kuiteka akili yangu hata hunipelekea niombe namba ili tufamiane zaidi ... Haulaa leee salalee
Kumbe binti kodi yake ilikuwa inakaribia kuisha chumba akaacho ni sh 50000 ( kwa mujibu wake ) na yeye alikuwa nayo 100,000/= kama rafiki yake kaomba nimsaidie 50,000/= tu
...hivyo ili asije niona mkono wa birika au mwanaume bahari kweli nimempa hiyo 50,000 aliyoitaji,,,,,na hapa namcheki mshikaji wangu fulani anikope 30,000/= wasije kukata maji wapuzii wa iruwasa ... Japo roho imeniuma sanaaa na kwa kweli kwa namna fulani nimejidharau sanaa kwa maumizi yangu ila nimejifariji kwa kujiambia nikisha piga hii pisii naisukumia huko siiitakii tenaaaaa nimesema ...