Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
Acha masikhara basi, laki mbili unaiona kidogo! Hapo unaenda spend masaa tu, ukitumia hivyo mara tatu kwa mwezi mambo mengine yote si unaahirisha ikiwa ni pamoja na kula.Laki 2 tu umekuja hapa
Then that's not an idiot.An Idiot with a plan can beat a Genius without a plan.
Kichwa Cha chini ni hatari kikikuongoza katika maamuzi ogopa sanaKuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela.
Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile hela ambayo ingeenda kutumika huko, ila bado naona ugumu kuitumia kwa lile jambo la 60.
Why kwake nilikua radhi kulaza laki mbili?
Ndio mkuuNa vipi ulimkamua vzr au ilikuwaje