Ni Mimi tu au na nyie inawatokea?

Hapana Mkuu Suala la Kupenda Lishapotea Kabisa
sasa kama swala lakupenda lilishapotea mbona unauliza kwanini kila mwanamke mnaingia kwenye mahusiano mnaachana baada ya muda mfupi? ponya hicho kidonda kwanza alichokuachia huyo mwanamke alokufanya swala lakupenda lipotee ndo uingie kwenye mahusiano nikwambie tu hakuna mchawi wa mtu alokuchezea una trauma na maumivu ya kuachwa na uliompenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…