Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
UnazinguaNdiyo wanawake wananikimbia kabla mwezi haujafika, na muda ndo huu natafuta mwenza wa kuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnazinguaNdiyo wanawake wananikimbia kabla mwezi haujafika, na muda ndo huu natafuta mwenza wa kuoa
Wakuu habari za wakati huu,
Natumai hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kujenga taifa.
Wakuu kuna hali naona kama inataka kunizoea aisee namie mazoea sipendi...!! Hiii hali ya ku-date na wadada halafu hata mwezi atutoboi inaniogopesha sana guys I don't know tatizo ni nini? But mahitaji ya mwanamke yeyote hapa tanzania naeza mudu kiuchumi au hata kwa bed.
Wengine hata sijawahi kunyanduana nao lakini nao ni hivo hivo siku kadhaa tumekaliana kimya na kuachana inakua kimya kimya
Wakuu au nyota yangu imechakaa? Maake kama ni muonekano nnao (handsome boy) mpaka nahisi kupata depression 😧
Naomba kuwasilisha. Karibuni kwa maoni.
Kaongo🤣Nini!?
Vita ya namna hii tunaipokea kwa mikono yote mkuu🤣🤐🤐🤐 Vita unayo anzisha wakija unaiweza?🏃🏃🏃
Nipe mbinu mkuu!Jiongeze mkuu!😂
umewahi kuumizwa kwenye mapenzi na mwanamke uliempenda sana????
Tatizo liko hapa
Ngoja ajeItabidi Anisaidie Kitaalamu Inakuaje Hii
Tuma picha tuone ,huenda unaonekana HB uliyepitiliza mpaka wanakuona ushaleft uanaume [emoji23]
Mwanaume mzuri wa nini mie, endelea kujisifia uzuri, PM iko wazi kaa mkao wanakujaAkyamungu Inakera Sana Kuzinguliwa Na Mtu Unaezidi Mzuri..!! Hamjui Nafkili Wanaume Wenzangu Mnaelewa Hii
Ni tatizo, fanya maombi...
Mwanaume mzuri wa nini mie, endelea kujisifia uzuri, PM iko wazi kaa mkao wanakuja
Ukiona hivyo ujue haya yanakuhusu;
1. Hujitambui.
Hujui unataka nini kwenye maisha, huna Focus ya maisha yaani hujui muelekeo wa maisha yako. Yaani unaenda endapo.
Hii ikifanywa na under 20 ni sahihi. Lakini above 25 baai upo kwenye kundi la vijana wasio kutambua.
2. Huna majukumu na umekataa kujipa majukumu.
Kama hutaki kuoa official basi tumia mbinu ya sogea tuishi ili ujipe majukumu ya Mwanaume.
3. Umechelewa kujua mapenzi.
Watu waliojulia mapenzi ukubwani pia hukutwa na tatizo kama lako.
Wakishaanza kupata miambili mitatu na kujinunulia nguo na mafuta basi kazi inakuwa moja. Wanawake.
Chakufanya
1. Kama upo below 25 malizia kufurahia huo ujinga/uchafu. Kwa sababu ndio muda wake huo.
2. Kama upo above 25, jipe majukumu.
hahahah nimekuona Vale, hayo maneno ni yako au kuna mtu kashika simu yakoHuyo ndugu yako na mimi ni dugu moya