Ni Mimi tu au na nyie inawatokea?

Ni Mimi tu au na nyie inawatokea?

Mkuu Mpaka N

Mkuu Nahisi Labda Kuna Kurogwa & Nyota Yangu Imefubaa...!! Kwa Sababu Nna % Chache Sana za Kukubaliwa na Mwanamke Yeyote Yule Hata Ambae Anaonesha Kua na Nia Namie
Sijui kama kuna hali hiyo lakini mahusiano sio kwa kila mtu, sijui sababu hasa n nini
 
Wakuu habari za wakati huu,

Natumai hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kujenga taifa.

Wakuu kuna hali naona kama inataka kunizoea aisee namie mazoea sipendi...!! Hiii hali ya ku-date na wadada halafu hata mwezi atutoboi inaniogopesha sana guys I don't know tatizo ni nini? But mahitaji ya mwanamke yeyote hapa tanzania naeza mudu kiuchumi au hata kwa bed.

Wengine hata sijawahi kunyanduana nao lakini nao ni hivo hivo siku kadhaa tumekaliana kimya na kuachana inakua kimya kimya

Wakuu au nyota yangu imechakaa? Maake kama ni muonekano nnao (handsome boy) mpaka nahisi kupata depression 😧

Naomba kuwasilisha. Karibuni kwa maoni.
Mwanaume kamili haangaiki na wanawake.. hujakamilika bado
 
Tuma picha tuone ,huenda unaonekana HB uliyepitiliza mpaka wanakuona ushaleft uanaume [emoji23]
 
Ili udumu na hawa viumbe lazima uwe na makucha kama yale ya eagle na asijue formula yako pia usimruhusu mwanamke akutangulie mbele kukusoma jinsi ulivyo kivyovyote vile na chukulia vitu simple.

Sasa je, tukiachana na huo u-handsome unaojinadi nao je una makucha ya kushikilia mama kama yale ya eagle?
 
Back
Top Bottom