Ni Mimi tu au na nyie inawatokea?

Ni Mimi tu au na nyie inawatokea?

Mkuu Mpaka N
Umri wako tafadhali.

Kuna kipindi mtu unakuwa haupo tayari kuwa na mahusiano, hiyo hali nimeipitia pia na sikuona ajabu kwa sababu sikuwa tayari. Sikuwa hata nahangaika kuomba namba/kutongoza japo wanaojitongozesha hawakukosekana lakini sikuwapa attention kwa sababu sikuwa na uhitaji. Shida ni pale unapokuwa na uhitaji alafu mambo yawe tofauti kama hivyo unaweza hisi kuna mkono wa mtu.

Life style yako ikoje?

Mkuu Nahisi Labda Kuna Kurogwa & Nyota Yangu Imefubaa...!! Kwa Sababu Nna % Chache Sana za Kukubaliwa na Mwanamke Yeyote Yule Hata Ambae Anaonesha Kua na Nia Namie
 
Back
Top Bottom