Ni Mimi tu nimepona, mimi tu kuwaletea habari

Ndelejha

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
287
Reaction score
160
Ilikuwa ni kwenye uzi unaohusu mapigano ya kidini huko Buseresere Geita, Naam majibizano yakawa makali baina ya pande mbili,Natazama rungu la Mods likashuka na pingu kutoka upande wa mashariki, Naam zikamvaa Baba V na kwenda naye selo za Jf. Mimi tu nimepona, mimi tu kukuleteeni habari
 
Last edited by a moderator:

Id yako nyingine ni ipi?
Msalimie Baba V!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom