Ni mimi

Kichenza

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2018
Posts
222
Reaction score
243
Kwanza kabisa nadhani inajulikana kwamba kichenza ndiye kijana anayevaa na kula vizuri jamii forum nzima na hilo halina upinzani...
anyway ni muda kidogo sijaonekana Jf, ishu ni kwamba nilikuwa nje ya nchi kwa ajili ya mapumziko kidogo na pia sikutaka kujishughulisha na Jf so nilikuwa tu nashinda kule twiter tukibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi mbali mbali.. But all in all kichenza nimerudi I'm herenow, nawasalimu sana... Kwa kichina nawasalimu sana tunasema (chinkwao shwaa)...
 
Kichina tunasema ni hao....anywaway ...huko kuvaa unavaa ni i au kula wakula nini weye?isijekua birian yakhe
 
Kichina tunasema ni hao....anywaway ...huko kuvaa unavaa ni i au kula wakula nini weye?isijekua birian yakhe
Kama asubuhi lazima nipate mchemsho wa mbuni na mayai yake na ndizi mshabuko kutoka sudani na juisi ya tende bardiiiiii...huu mlo wa asubuhi tu gharama yake ni kama laki na nusu kwa hiyo unaweza ukaona mwenyewe
 
Unajitekenya mwenyewe afu unacheka mwenyew
Unanikumbuka ulinifanya nikapigwa ban nauliza unanikumbuka... nahisi sa hivi utakuwa umeajiriwa na Jf... vipi mshahara unalipwa sh ngapi.
alafu istoshe hujaitwa kwa hiyo pita kuleee yani kushoto
 
Kama asubuhi lazima nipate mchemsho wa mbuni na mayai yake na ndizi mshabuko kutoka sudani na juisi ya tende bardiiiiii...huu mlo wa asubuhi tu gharama yake ni kama laki na nusu kwa hiyo unaweza ukaona mwenyewe
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…