Ni misemo gani ya watu wa kariakoo ukiisikia huwa unacheka sana?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Mimi binafsi nikipita kariakoo kwenye yale spika zao nikisikia hii misemo minne huwa nacheka sana.
1.Boss kalewa
2.Boss kasahau bei.
3.Boss kavurugwa
4.Boss kapandwa na kichaa
 
Mawinga ndo wananiacha hoi utakuta wanasema saa 2 hio au utasikia ganji ni tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…