Ni Miss Tanzania yupi uliyemuelewa na unayemkubali?

Wewe angela kwani ni mtanzania ndio tuanzie hpo
Ni mtanzani ndio, mama yake ni mzungu kutoka ukraine na baba yake ni mtanzania anaitwa damas mtalima. Kabila lake silijui ila najua ni mtu wa mara
Damas mtalima alikuwa mwalimu airwing high school
 
Baba yake ni mjita ndio ckujua kama alikuwa mwalimu!
 
Ni kweli ni mjita kutoka mara, alikuwa mwalimu wetu airwing pia nafikiri alikuwa mwanajeshi japo sina uhakika sn.
Nilisikia amefariki,
 
Kuna kipindi nilikutana nae Paris ufaransa way back kidogo!
 
Kumbe Angela Damas ndo Mke wa Bashe, uwiiiiiiih
Aseeeeeh.
Hapana, Mbiki msumi ambaye alikuwa mshindi namba mbili maana Sikumbuki vizuri ndo ameolewa na bashie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…