Georgie Jr
Senior Member
- Aug 23, 2018
- 134
- 374
Nancy sumari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo mkuu!
Oooooh sasa mbna kapostiwa mke wa bashe ndo Angela Damas.Hapana, Mbiki msumi ambaye alikuwa mshindi namba mbili maana Sikumbuki vizuri ndo ameolewa na bashie
Okey back then kuna rumours zilitapakaa kuwa angela damas kaolewa na bashie, watu wengine wakadai ni 1st runner up wake ambaye ni mbiki msumi..Oooooh sasa mbna kapostiwa mke wa bashe ndo Angela Damas.
Aina maeda ni 1994 na haishi Tz, kingine mamiss Tz wa zamani hawajulikani sana sababu hawakuingia kwenye maisha ya umaarufu, wana careers na maisha mengineAnna Maeda naona hatajwi kabisa...Miss Tanzania 1996/97
Mwenye picha yake tafadhali.
Yuko wapi uyu mtoto mzr wakuuMy all time favourite. Hao wengine wabaya sura mbayaa.View attachment 2199464
Huyu Half Cast ndo mke wa Bashe. Ooooh kumbe waziri kaoa Miss Tanzania. UwiiiiiihOkey back then kuna rumours zilitapakaa kuwa angela damas kaolewa na bashie, watu wengine wakadai ni 1st runner up wake ambaye ni mbiki msumi..
Nilikuwa nachangia nachokijua but kama ni huyu half cast umemthibitishaa bhasi ni Angela Damas Miss Tz 2002, huyu black ndio mbiki
View attachment 2214697
Hio shombe shombe ya kikuria ndio bwashee anajilia!Okey back then kuna rumours zilitapakaa kuwa angela damas kaolewa na bashie, watu wengine wakadai ni 1st runner up wake ambaye ni mbiki msumi..
Nilikuwa nachangia nachokijua but kama ni huyu half cast umemthibitishaa bhasi ni Angela Damas Miss Tz 2002, huyu black ndio mbiki
View attachment 2214697
Anastahili, Miss Damas katulia sio slay queenHio shombe shombe ya kikuria ndio bwashee anajilia!
Mnyakyusa Ipinda hawa ndugu zetu akina mwakabana, mwafilombe,mwaihojo... hawaonagi hii fursa?Nancy Sumary
Lisa Jensen
Jac Ntuyabaliwe
Hoyce Temu
Halafu kuna wale visu ambao hawakuweza kushinda...
Kibibi Bendera
Aminata Keita
Jihan Dimachk
Lilian Kamazima