Ni Miss Tanzania yupi uliyemuelewa na unayemkubali?

Anna Maeda naona hatajwi kabisa...Miss Tanzania 1996/97
Mwenye picha yake tafadhali.
 
Hapana, Mbiki msumi ambaye alikuwa mshindi namba mbili maana Sikumbuki vizuri ndo ameolewa na bashie
Oooooh sasa mbna kapostiwa mke wa bashe ndo Angela Damas.
 
Oooooh sasa mbna kapostiwa mke wa bashe ndo Angela Damas.
Okey back then kuna rumours zilitapakaa kuwa angela damas kaolewa na bashie, watu wengine wakadai ni 1st runner up wake ambaye ni mbiki msumi..

Nilikuwa nachangia nachokijua but kama ni huyu half cast umemthibitishaa bhasi ni Angela Damas Miss Tz 2002, huyu black ndio mbiki

 
Anna Maeda naona hatajwi kabisa...Miss Tanzania 1996/97
Mwenye picha yake tafadhali.
Aina maeda ni 1994 na haishi Tz, kingine mamiss Tz wa zamani hawajulikani sana sababu hawakuingia kwenye maisha ya umaarufu, wana careers na maisha mengine

kuanzia kwa wema 2006, shida ndipo ilipoanzia
 
Huyu Half Cast ndo mke wa Bashe. Ooooh kumbe waziri kaoa Miss Tanzania. Uwiiiiiih
 
Hio shombe shombe ya kikuria ndio bwashee anajilia!
 
Nancy Sumary
Lisa Jensen
Jac Ntuyabaliwe
Hoyce Temu

Halafu kuna wale visu ambao hawakuweza kushinda...

Kibibi Bendera
Aminata Keita
Jihan Dimachk
Lilian Kamazima
Mnyakyusa Ipinda hawa ndugu zetu akina mwakabana, mwafilombe,mwaihojo... hawaonagi hii fursa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…