aBuwash
JF-Expert Member
- Dec 26, 2023
- 262
- 497
Hello wana jf
Natumai wote mko poa sana
Naulizia gani hivi hapa dar haina majina makubwa sana kama vile tandika, mbagala, kariakoo nk.
Lakini ina watu wengii na biashara zinafanyika kwa maana zinauzika
Nilikuwa mbagala na store yangu ya mchele ila kwa sasa nimenyoosha mikono ushindani umekuwa mkubwa sana ukilinganisha na mtajii wangu naona vita imekuwa kubwa sana
Kwaiyo cjakataa tamaa kweny biashara nayofanya ila nataka kubadilisha location niende sehem ambayo kidg naweza kuimuduu aisee
Kama kuna mtaa wowote upo fresh amabao naweza fungua ki store changu cha mchele pand hizo dondosha mtaa chini hapo ili niendee nikafanye research
Natumaini mtakuwa mmenisaidia sana