Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
unaweza kutumia mda kuandika mwisho wa siku moderator anafuta au kumpa msanii maarufu wa JF mtoa taarifaUmeandika kama umekatwa kichwa. Hebu tulia urudie kuandika ueleweke
watakuja kuleta habari ni leo na sikia mtoto toka ijumaa alikuwa chooniSijaamini bado lete habari vzr, kinyesi atumbukie humo siku tatu??
Kuto kula siku tatu sambamba wadudu na hewa chafu
kichanga cha kuzaliwa" Mtoto mdogo ameanguka shimoni mwa chooni, Tatizo ni kutokujua utofauti wa kielezi na Nomino.
Lawama zote kwa bi chura kiziwiUmeandika kama umekatwa kichwa. Hebu tulia urudie kuandika ueleweke
Lawama zote kwa bi chura kiziwi
Binti anaefanya kazi za ndani huko Dodoma, miaka yake 16....amezaa mtoto kisha kamtupa chooni. Majirani baada ya kusikia sauti ya mtoto chooni wakatoa taarifa kwa boss wake.
Boss akawapigia jeshi la zimamoto na uokozi wakaja kumuokoa, mtoto amekaa chooni siku tatu....kwa sasa yupo hospitali ya rufaa Dodoma anaendea vizuri.
Makubwaaa 😃Tunamshukuru sana Rais samia kwa uokozi huo