Ni mjamzito zaidi ya miezi 10

SACO

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
2,623
Reaction score
3,397
Habari wakuu.

Nikiwa natarajia kupata mtoto wa tatu na wa mwisho.. Tumeshtushwa na ujauzito kupitiliza miezi kumi kwani kwa mara ya mwisho wife kwenda kwenye siku zake ilikuwa may 20 ambapo ukihesabu ni zaidi ya miezi kumi yaani zaidi week 40.

Utra sound tumepima mara mbili hospitali ya kwanza kipimo ilikuwa ajifungue tar 27 ya pili tar 28 mwezi wa pili, lakini mpaka sasa bado.

Na nasikia hizo picha kupiga mara kwa mara zina madhara.. naomba ushauri kwenu wataalamu na nitaleta mrejesho
 
Kikawaida tar ya matazamio inaweza kwenda hadi siku 14 zaidi so sikilizia kwa muda huo ikizidi hapo kuna shida
 
Kikawaida tar ya matazamio inaweza kwenda hadi siku 14 zaidi so sikilizia kwa muda huo ikizidi hapo kuna shida
mkuu utra sound haziaminiki sana yeye akihesabu anaona ni week ya 46
 
May 20 ndio siku ya mwisho kwenda period yake. Haimaaanishi mliunjunja na mimba ikatunga kipindi hcho hcho. Hapana.

So kuwa mvumilivu na soma ushauri zaidi Hapo juu
 
Kama muda umepitiliza mngejitahid muende consultation kweny hospital kubwa ni tatizo
 
Kama muda umepitiliza mngejitahid muende consultation kweny hospital kubwa ni tatizo
Hapo hakuna tatizo lolote mimba ina uwezo wa kukaa hata mwaka n muda ukifika mtoto anatoka fresh.
 
mbona rahisi mpeleke mke wako hospital alafu ww rudi nyumbani alafu fanya hivi

oga kwanza

kula cha mchana

deki room mnayolala na uitandike vizuri

tandika taulo safi au kanga

chukuwa biblia na kitabu cha nyimbo ukae navyo juu ya hio kanga au taulo

imba nyimbo 3 za kuabudu

tubu zambi zako

imba nyimbo 2 za sifa

soma ñeno là mungu na kitafakari

kisha imba nyimbo 3 za kuomboleza kwenye kitabu cha nyimbi

alafu muombe mke wako na ukatae maneno yote aliotamkiwaa

ukimaluza na yeye àtakuwa kashakuletea mtoto wa kiume na umwite praygod
 
Hapo hakuna tatizo lolote mimba ina uwezo wa kukaa hata mwaka n muda ukifika mtoto anatoka fresh.
Mkuu navokumbuka mim ni kuwa inaweza kwenda up to 42 weeks ambayo tutaiita post term labor

When is a baby considered to be overdue?
In the 1st week after the due date, the baby and mother are not at higher risk of complications if they are both doing well. Even after that, the risk of something happening to the baby does not increase much. But certain risks do increase a little. If a bby is overdue, the main associated risks are:
-The placenta might gradually stop being able to do its job properly.
-An infection might develop inside the womb.
-Unexpected problems might arise during labor.

Being overdue is generally associated with fewer risks for the pregnant woman. But childbirth can be more difficult if the child is too big.
Almost all babies are born within three or four weeks of the due date. If a baby has not been born by then, though, the risk of being stillborn (being dead at birth) increases. But babies are very rarely born that late because labor is usually induced two weeks after the due date at the latest.
To induce labor, hormones or other methods are used to try to get labor (contractions) started artificially.
 
Hapo hakuna tatizo lolote mimba ina uwezo wa kukaa hata mwaka n muda ukifika mtoto anatoka fresh.
mh.. mkuu mwaka mbona ni hatari
 
Ahsante mkuu kwa bandiko lako
 

Huu sio ushauri wa kufuatwa..mtoa mada nenda hospitali na uombe kwa imani yako muda wote haya mambo ya kutandika mataulo na kuimba imba ni ushirikina tu huo
 
Kuna mtu mmoja ujauzito wake hufikia miezi 11. Na ikiwa 10 ni kwa mtoto wa kike. Jaribu kuwa karibu na washauri na watoa huduma za afya
 
Binafsi mimi ni jasiri kwenye mambo mengi ila ktk swala la uzazi nimuoga sana maana nimeshashuhudia rafiki zangu wawili wakipoteza wake zao.

Nenda hospitali kubwa mkuu pole sana.
 
Mkuu utakuwa umeshauriwa kuhusu operation. Hii ndo njia rahisi ya kutatua shida hii ili kumuokoa mtoto.

Since ni mtoto wa mwisho, don't hesitate. Mmoja kakaa miezi 11, juzi kafaniwa operation na kajifungua baby boy.
 
Bado kijana mi nilijifungua wiki ya42 kuwa mpole halafu kidume hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…