SACO
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 2,623
- 3,397
Habari wakuu.
Nikiwa natarajia kupata mtoto wa tatu na wa mwisho.. Tumeshtushwa na ujauzito kupitiliza miezi kumi kwani kwa mara ya mwisho wife kwenda kwenye siku zake ilikuwa may 20 ambapo ukihesabu ni zaidi ya miezi kumi yaani zaidi week 40.
Utra sound tumepima mara mbili hospitali ya kwanza kipimo ilikuwa ajifungue tar 27 ya pili tar 28 mwezi wa pili, lakini mpaka sasa bado.
Na nasikia hizo picha kupiga mara kwa mara zina madhara.. naomba ushauri kwenu wataalamu na nitaleta mrejesho