mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Huu sio ushauri wa kufuatwa..mtoa mada nenda hospitali na uombe kwa imani yako muda wote haya mambo ya kutandika mataulo na kuimba imba ni ushirikina tu huo
ndio ni ushirikina ndo maana ata msikitini kutandika jamvi nayo ni ushirikina