Ni mke wa mtu ila dah!

Soon tutakuita Kipenselicious ukiendekeza hizo hisia za kupendwa na mke wa mtu
 
Kijana pambana na maisha umri unaenda, kadili siku zinavyokwenda ndio mabinti wazuri wanazaliwa kuujaza ulimwengu.

Tafuta hela na maisha kwanza watakuja mpaka uwakimbie tena akina Cleopatra kabisa kutoka Iraq na Egypt...
Akiwa na pesa hata hatongozi ,Kaka zake Hadi tumeanza kujilazimisha kustaafu maana niliowagegeda baada ya kupata pesa Ni mabasi ya dar lux toka mwanza to dar Kama 60 hv
 
Usituangushe mzee wee mgegede tuu sii papuchi kaileta mwenyewe.
 
Chief tusiwe wepesi kuhukumu na kuchagua upande kabisa!

Kusema huyo binti sio “Mwanamke “ uko sawa kabisa kwa maana binti bado mdogo mno na kwa jinsia ya kike bado kabisa hajajitambua kwa kuzingatia malezi yake na makuzi ya familia nyingi za kitanzania! (Hata kama kaolewa)

Naye pia ni binaadam tamaa imemuwakia I believe naye akiomba ushauri kama huyu kijana wa kiume atapata huu huu tunaompa kijana wa kiume hapa!

Kikubwa tu Kipenseli akae nae chini aongee nae waikatae hiyo tamaa no matter the chemistry building up between them!!

Wote hawa bado wadogo mno!
 
Chief, tayari umekiri hapa mwenyewe;

“ni mke wa mtu na Akili na Imani yangu vinanikataza kabisa kufanya hii kitu maana nilishajiapiza...”

Hebu fuata hiyo Imani na Akili zako ulivyojiapiza navyo!
 
Akiwa na pesa hata hatongozi ,Kaka zake Hadi tumeanza kujilazimisha kustaafu maana niliowagegeda baada ya kupata pesa Ni mabasi ya dar lux toka mwanza to dar Kama 60 hv

hahahahahahahahahaha..

wengine mpaka tumesahau kutongoza, maana ukimsalimia tu mtu tayari wakwako.. vijana hawajui account zikisoma vizuri hawa viumbe inafika mahala huna muda nao bali wao ndio huwa na muda na wewe..
 
Akiwa na pesa hata hatongozi ,Kaka zake Hadi tumeanza kujilazimisha kustaafu maana niliowagegeda baada ya kupata pesa Ni mabasi ya dar lux toka mwanza to dar Kama 60 hv
Tupeane connection sasa mkuu....Maana vijana hali tete mtaani mpaka yanatukuta haya

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu ni kama nimesimangwa na baadhi ya maoni ya wadau.....Ila sijutii kwa kuwa wengi walionionipa ushauri ni wakubwa zang na wametoa experience zao

Ila hongera na shukrani umejibu kwa busara sana

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Tupeane connection sasa mkuu....Maana vijana hali tete mtaani mpaka yanatukuta haya

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Kweli mdogo wangu umechoka unatumia hadi tecno,anyway Anza kilimo hautajuta,hakikisha shamba unalimiliki mwenyewe,piga show zako kimyakimya,
Misemo hii iwe dira yako
-mchumia juani,hulia kivulini
-harakaharaka,haina baraka
Lima kilimo biashara,kumbuka haya yote yanapatikana kwa juhudi zako,siyo rocket science,na kuwa tajiri siyo dhambi.
La mwisho,Kasome Darwin's theory of surviving..kwa tafasri ya mtaani "kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake".Baba yetu Magufuli anavyosema Tanzania ni nchi tajiri anamaanisha,na anavyosema anatamani aiache Tanzania ikiwa na mabilionea vijana wengi ni kweli kabisa...zamani Kuna mwanamuziki aliimba umaskini si kilema,ila Sasa imedhihirika wazi umaskini ni ulemavu/uvivu..
Mwisho:hakuna nchi tajiri Kama Tanzania...amini utaziishi ndoto zako..kwa msaada zaidi ni PM
 
Aaaah kumbe Motivational Speaker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…