Ni mke wa mtu ila dah!

Dogo nakupa tahadhari kwa kutumia mfano. Kuna rafiki yangu alikufa baada ya kutembea na mke wa mtu maeneo ya Rufiji, jamaa yake alipogundua akamwekea mkewe tego (kiuchawi). Jamaa alivyorudia kuchapa tena, alipokojoa tu nyuma kukaanza kuoza na dushe lilisimama mpk anakufa. Yaani mpk maiti yake ilikuwa imesimamisha.

Ni mtu niliyekuwa namjua kabisa na toka siku hiyo nilijiapiza sitokuja kutembea na mke wa mtu
 
na serikali ndo haiamini uchawi hivyo huyo jamaa anaendelea kula maisha na mkewe sasa hivi[emoji26]

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwanangu umedanganya mwanzoni afu mwishoni umejisahau. 2005 ulikuwa na 15yrs leo 2020 una 23yrs angalia apo vizuri ukiwa muongo uwe na kumbukumbu bans.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanangu umedanganya mwanzoni afu mwishoni umejisahau. 2005 ulikuwa na 15yrs leo 2020 una 23yrs angalia apo vizuri ukiwa muongo uwe na kumbukumbu bans.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni makosa ya uandishi tu ila ukweli ni kuwa

Nimezaliwa 97
Nimehamia hapa 2005
kuwa na 15 years ni kipindi cha miaka ya 2012 hivi yeye alikuwa mdogo kiumbo dada zake ndo kidogo wakubwa na kwa kipindi hiko ndo niliona wananifaa


Hayo ndo makosa yangu yaliyofanya nisieleweke au kuonekana muongo

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Shetani anakushawishi utembee na mke wa mtu ukitembea nae na ukakamatwa anahamia upande wa pili anawashauri wakutoe malinda.
 
Yaani 23rd years mapenzi yanakuendesha hivyo
Je ukifika 35s ambapo hapo ni age qmbayo wanasema mapenzi hunoga, utafanyaje Ya Allah tuepushe na zinaa! Ãmiin
 
Stay away from her, mke wa mtu muheshimu, jitahidi Usiweke mazoea nae

Mumewe atapata tu taarifa na itakula kwako
 
Wewe na icho kiteckno chako jaribu kuwa na adabu,acha kabisa iyo Tania za kuvizia wake za watu,hatutaki dhambi na hasira za serikali,
Hivi uliwasikia wake waliofumaniwa Arusha maeneo ya sakina?so uliona walivyochomwa zaidi ya nyama?
Na wake waliobanduliwa tuzi zikawa Kama ndoo wakitaka kunya choo chatoka chenyewe?
Haha tafakari sana au piga cm mbinguni ufanye booking kabisa!
Mi ni mmoja wao wanaotoaga adhabu ambayo shetani anaiogopa na kunisihi nisifanye hayo matukio
NENDA MITAAN USIKU MALAYA WAMEJAA HUKO
Acha kuaribu ndoa za watu
 
Aisee ndo maana mzee rungwe anatuahidi tu ubwabwa.......maana akili zishachoka kwa njaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…