Ni mke wa mtu ila dah!

Ni mke wa mtu ila dah!

Dogo nakupa tahadhari kwa kutumia mfano. Kuna rafiki yangu alikufa baada ya kutembea na mke wa mtu maeneo ya Rufiji, jamaa yake alipogundua akamwekea mkewe tego (kiuchawi). Jamaa alivyorudia kuchapa tena, alipokojoa tu nyuma kukaanza kuoza na dushe lilisimama mpk anakufa. Yaani mpk maiti yake ilikuwa imesimamisha.

Ni mtu niliyekuwa namjua kabisa na toka siku hiyo nilijiapiza sitokuja kutembea na mke wa mtu
 
na serikali ndo haiamini uchawi hivyo huyo jamaa anaendelea kula maisha na mkewe sasa hivi[emoji26]

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwanangu umedanganya mwanzoni afu mwishoni umejisahau. 2005 ulikuwa na 15yrs leo 2020 una 23yrs angalia apo vizuri ukiwa muongo uwe na kumbukumbu bans.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni makosa ya uandishi tu ila ukweli ni kuwa

Nimezaliwa 97
Nimehamia hapa 2005
kuwa na 15 years ni kipindi cha miaka ya 2012 hivi yeye alikuwa mdogo kiumbo dada zake ndo kidogo wakubwa na kwa kipindi hiko ndo niliona wananifaa

Hayo ndo makosa yangu yaliyofanya nisieleweke au kuonekana muongo

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Shetani anakushawishi utembee na mke wa mtu ukitembea nae na ukakamatwa anahamia upande wa pili anawashauri wakutoe malinda.
 
Habari zenu waungwana?

Mimi mdogo wenu leo naweka hili bandiko humu kuomba ushauri kwa maana akili na maamuzi yangu naona kama yanashindwana na matamanio ya mwili wangu.

Kiufupi kuna msichana hapa mtaani kwetu anaonesha hisia za kunipenda sana na ukweli ni kuwa nampenda pia na sijui ni kwanini imekuwa rahisi kushawishika naye.

Huyu mschana nilikuwa namchukulia kama dogo tu kipindi ambacho tumehamia hapa mtaani nilipo (tulihamia mwaka 2005) akiwa bado mdogo tu na alikuwa na dada zake wengine hao ndo nilikuwa nawafukuziaga kipindi kile tupo wadogo sana kama 15years hivi.

Sasa hivi ameolewa huko Mtwara lakini kipindi anaolewa mimi sikuwepo hapa mtaani ambapo nimerudi tena kukaa hapa kwasababu zangu binafsi,mwaka jana alikuja kwenye harusi ya ndugu yake ndo nikapata bahati ya kuonana nae tena akiwa kabadilika sana infact she is so beautful, she has nice figure na kitabia yuko fresh kifupi ana vigezo vya mke ninaemhitaji. Nikampaga namba kwa maana nilikutana nae juu juu na aliniambia kuwa baada ya hiyo harusi ataondoka tena mtwara lakini hakunitafuta hata kidogo na sikujua sababu kabisa nikampotezea (Kumbe aliolewa).

Mwaka huu mwezi wa kwanza alikuja tena kutokea huko Mtwara aseee nilimface na kumshutumu kwanini hakunitafuta na mixer kutoa yangu ya moyoni ndio la haula! ananiambia kuwa kaolewa asee nilikata tena hayo mazoea nikaamua nifanye mambo yangu mengine mpaka alipoondoka tena kurudi kwa mmewe huko Mtwara..

Kwenye Tatizo Sasa; Kwenye Mwezi wa 7 mpaka hivi ninavyotype yuko tena hapa mtaani na naona bado wana mahusiano mazuri tu na mumewe huko alipo (Kwa kuwa mara kwa mara namkuta akiwa anazungumza nae) lakini tatizo ni kwamba na yeye ameamua kureveal hisia zake kwangu ila kikwazo ni mumewe....

Kipindi hiki sasa mara kwa mara amekuwa akinilalamikia kuwa anakuja homboi hanikuti mpaka jana nilipoamua kumpanga aje home leo asubuhi (Agenda ya kukutana wote wawili tulikuwa hatuifahamu) asee ni kama masikhara leo alfajir kabla sijaamka kumbe alikuja na kunigongea mlango nikiwa bado nimeuchapa usingizi yaaani asubuhi sana....Na mida ya saa mbili hivi akapita tena na kuja mtaani kwangu na kwa wakati huo akawa amenikuta nishaamka najiandaa kuingia bafuni,inshort kakawa kanalalamika kuwa nimelala sana na hapa nikajua kuwa kuna kitu alihitaji kunipa...

Nikampanga nikirudi kuoga na yeye arudi hapo (kwa kuwa yeye kaja na mdogo wake kwenda kuchota maji karibu na hapa nyumbani ikiwa ni kigezo cha kuja kuonana na mimi baada ya ile mara ya kwanza kufeli)...Naweza sema kama haikupangwa hii leo maana baada ya hapo hakurudi tena (Sababu ni huu mtaa tunaoishi jinsi ulivyo na ukaribu wetu na majirani,pia muda haukuwa rafiki kwake) na kuna sehemu ameniaga kuwa anaelekea na atarudi kesho yake (Jumapili).

Nampenda sana na Naona ananipenda kiukweli tatzio ni mke wa mtu na wallah akili na imani yangu inanituma nisifanye hiki kitu kwa kuwa nilijiapiza before kuwa sitaweza kuingia katika mahusiano yanayohusisha ndoa ya mtu mpaka mimi nitakapokuja kuoa lakini dah huyu ananipa wakati mgumu sana..

Anavyodai ananipenda tangu tuko wadogo mapindi yale niliyokuwa ninamdharau kumuona dogo tu kwa kuwa dada zake ndo walikuwaga wa moto kipindi kile ila inshu ndo kaolewa sasa[emoji26] kiukweli naona kadhamiria tu kunipa tunda kabla hajarudi tena huko Mtwara

Wakuu mnanishauri vipi mdogo wenu....I'm 23 Years na Yeye ni kama 20 years hivi ila kaozwa mapema na mumewe sijawahi kumfahamu

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Yaani 23rd years mapenzi yanakuendesha hivyo
Je ukifika 35s ambapo hapo ni age qmbayo wanasema mapenzi hunoga, utafanyaje Ya Allah tuepushe na zinaa! Ãmiin
 
Stay away from her, mke wa mtu muheshimu, jitahidi Usiweke mazoea nae

Mumewe atapata tu taarifa na itakula kwako
 
Wewe na icho kiteckno chako jaribu kuwa na adabu,acha kabisa iyo Tania za kuvizia wake za watu,hatutaki dhambi na hasira za serikali,
Hivi uliwasikia wake waliofumaniwa Arusha maeneo ya sakina?so uliona walivyochomwa zaidi ya nyama?
Na wake waliobanduliwa tuzi zikawa Kama ndoo wakitaka kunya choo chatoka chenyewe?
Haha tafakari sana au piga cm mbinguni ufanye booking kabisa!
Mi ni mmoja wao wanaotoaga adhabu ambayo shetani anaiogopa na kunisihi nisifanye hayo matukio
NENDA MITAAN USIKU MALAYA WAMEJAA HUKO
Acha kuaribu ndoa za watu
 
Aisee ndo maana mzee rungwe anatuahidi tu ubwabwa.......maana akili zishachoka kwa njaa!
 
Back
Top Bottom