Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Huu ni ushauri wa kinafiki sana, hata FL anajua ingekuwa yeye ni wa kiume angechukua hatua stahili na wala si hii ya kuogopa artificial sumu.
kwa hiyo unamshauri afanyeje sasa
 
kwa hiyo unamshauri afanyeje sasa

Kwanza suala la kula mzigo halijadiliki ni obvious, ila ni kuwa makini na mwenye mzigo hasa kwa kuwa hamfahamu, hivyo hatua ya kwanza ni kuanza kufuatilia mume ni nani anafanya kazi gani, anakunywa bar gani, marafiki zake, na hata ratiba zake kama anatoka kazini saa ngapi anapitia wapi na kurudi home saa ngapi, hatua ya pili ni kuhakikisha mchumba wake hajui kabisa hii siri ili asije kwenda kuuza siri.
 
Value ur dignity bro. cutes are not yet born. imagine how many of us do poses a car, do u think u ar the first to own a car! redeculous, make ur healthy family. songa mbele na maisha mthamini huyo wako mchumba huyo mdada asitumie huo unaouita uzuri kukupoteza kumbuka yeye ana familia tayari. huko kazini kwake kuna wangapi wana magari mkuu? kwani hao hawaoni kuwa ni mzuti kaka nawakamtaka? reason out mkuu!
 
<br />
<br />
duu inaonekana una degree ya kumega wake za watu.nahitaji hioo mkuu tujuzane
 
Shem, mke wa mtu ni suma ati. Usijetema BigG kwa karanga za kuonjeshwa tena pengine imeshaoza. Huyo dada ni sumu tena ya cobra, asiyekutakia mema.

Ni shetani huyo mkemee kwa nguvu zote ili ashindwe na alegee kwa jina la YESU.
 
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j’tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I’m not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.

kwa taarifa yako hapo tu ushatamani na kwa mujibu wa imani ya dini moja hivii tayari umeshazini. coz zinaa huanzia machoni pale unapoangalia, mdomo pale unaposhawishi, miguu pale mnapoelekea mjengoni kutinduana na mwisho ni implementation tu ya vyote vilivyofanywa mwanzo na macho na mdomo na miguu.

Fahamu kuwa ZINAA ni mbaya na ubaya zaidi ukizini na mke wa mtu. Hebu fikiria ndo mkeo anapumuliwa na jamaa mwingine ww utajisikiaje?
what goes around comes around, leo hii ukiwazini wa wenzio basi na wako pia atakuja kuziniwa vivo hivyo.
Chunga usije kojoa dagaa, mke wa mtu ni sumu.
 
mkuu unapata tabu ya nini mpaka uje kutupotezea muda wetu wa thamani kubwa hapa jamvini??...demu ni mzuri na umemkubali kwa vigezo vyooote..MLE UTII KIU YAKO..habari za mke wa mtu sijui nina mchumba sijui nini nini hapo hazina nafasi...

ujinga kama mke wa mtu ni sumu una hold pale mwenye mke atapojua..soo its up to you n her to make it a top class-secret... na mbaya kuliko zote ni wewe au yeye kunogewa na ku-disturb the previous relationships u r having... ZAIDI YA HAPO MIMI SIONI TATIZOOO...

na kama unaona soo JUST PM ME N LEAVE HER CELL4NE NUMBER NITAKUWA NAMPELEKA NA KUMRUDISHA SHULE KILA SIKUU....NAMAANISHA.
 
&#8203;
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j’tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I’m not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.

ha ha ha kwa kweli naona mbwa mbele ya chatu. Mkuu piga dochi ili na wewe siku ukipigiwa usisikie maumivu sana. Be careful with our wives. It is so painful kubutuliwa
 
ni wakumuogopa kama ukoma huyo mke wa mtu,ashume angekuwa ni mkeo ndo anajilengesha kwa mtu
 
Inaonyesha huyo mchumba wako hujampenda kwa dhati, vinginevyo usingemsifia mke wa mtu ukamsahau wako, usidanganywe na uzuri wa sura na umbo ukasahau tabia ya mwanamke. Licha ya kutambua ni mke wa mtu tena ana mtoto huo udende kwanini ukudondoke? Lift ulitoa kwa hiari hivo yako bila kutegemea malipo toka kwa huyo demu mbaya zaidi akulipe ngono. umetambua wazi kuwa mme wake mtu wa trip mikoani unapata picha ipi in this era of HIV/AIDS??? Kama unajali maisha yako achana na huyo dem wa mwenyewe, kaza kamba kwa mchumba wako. kama mchumba wako si mzuri kwanini umemchumbia? ACHANA NA MKE WA MTUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
my bro! unapozidi kuongea nae nakumpa lift ndo unazidi kujisogeza karibu na kifo! STOP IT!
 
Kwa uwezo wako huwezi, muombe Mungu akusaidie, wahi kidogo kwenda kazini au chelewa kidogo au kama kuna barabaara nyingine pita tu umu avoid hadi utakapozoea+ usipokee simu yake,au akishapiga mwambie uko busy au uko na mchumba wako....aweza kuwa pepo kutaka kukuachanisha na mchumba wako....ana guts za kishetani kabisa. Kila la kheri Elia,i know you are a good man!
 
Yes bro! I promised myself kutotembea na mke wa mtu, help me how can i avoid her?

Ni rahisi sana kumkimbia, kama akiomba appointment nenda na mchumba wako, akitaka outing pia toka nae pamoja na mchumba wako. Ataona unamnyima fursa. Mwenyewe ataacha... muweke mchumba wako wazi juu ya hayo majaribu pia... nae atakusaidia kukupa ushauri wa jinsi ya kumuepuka.... Mke wa m2 sumu kaka....!!
 
Hapa ndipo wale wazee wa maastrology nk. wanapopataga nguvu....yaani elia vs mchumba = 0...but elia vs nke wa ntu=100%...kinyume na hili elia hajatulia....ananikumbusha mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya malawi POPOTE CHANGONO..duh!
 
mkuu unapata tabu ya nini mpaka uje kutupotezea muda wetu wa thamani kubwa hapa jamvini??...demu ni mzuri na umemkubali kwa vigezo vyooote..MLE UTII KIU YAKO..habari za mke wa mtu sijui nina mchumba sijui nini nini hapo hazina nafasi...

ujinga kama mke wa mtu ni sumu una hold pale mwenye mke atapojua..soo its up to you n her to make it a top class-secret... na mbaya kuliko zote ni wewe au yeye kunogewa na ku-disturb the previous relationships u r having... ZAIDI YA HAPO MIMI SIONI TATIZOOO...

na kama unaona soo JUST PM ME N LEAVE HER CELL4NE NUMBER NITAKUWA NAMPELEKA NA KUMRUDISHA SHULE KILA SIKUU....NAMAANISHA.

Hahahahah by the way Who Cares?
 
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j’tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I’m not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.

Umeshakiri kwamba ni mzuri na anakuvutia sana! Pili anaonyesha anataka kupiga gemu ya nje na wewe! So why are you wasting our time here? Kajitafunie tu, kwani na wewe wapo pia ambao wanakutafunia mchumba wako. Women are not to be trusted 100%.
 
Back
Top Bottom