Mke wa mtu sumu
kwa hiyo unamshauri afanyeje sasaHuu ni ushauri wa kinafiki sana, hata FL anajua ingekuwa yeye ni wa kiume angechukua hatua stahili na wala si hii ya kuogopa artificial sumu.
kwa hiyo unamshauri afanyeje sasa
<br />Kwanza suala la kula mzigo halijadiliki ni obvious, ila ni kuwa makini na mwenye mzigo hasa kwa kuwa hamfahamu, hivyo hatua ya kwanza ni kuanza kufuatilia mume ni nani anafanya kazi gani, anakunywa bar gani, marafiki zake, na hata ratiba zake kama anatoka kazini saa ngapi anapitia wapi na kurudi home saa ngapi, hatua ya pili ni kuhakikisha mchumba wake hajui kabisa hii siri ili asije kwenda kuuza siri.
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo jtano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but Im not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.

Yes bro! I promised myself kutotembea na mke wa mtu, help me how can i avoid her?
mkuu unapata tabu ya nini mpaka uje kutupotezea muda wetu wa thamani kubwa hapa jamvini??...demu ni mzuri na umemkubali kwa vigezo vyooote..MLE UTII KIU YAKO..habari za mke wa mtu sijui nina mchumba sijui nini nini hapo hazina nafasi...
ujinga kama mke wa mtu ni sumu una hold pale mwenye mke atapojua..soo its up to you n her to make it a top class-secret... na mbaya kuliko zote ni wewe au yeye kunogewa na ku-disturb the previous relationships u r having... ZAIDI YA HAPO MIMI SIONI TATIZOOO...
na kama unaona soo JUST PM ME N LEAVE HER CELL4NE NUMBER NITAKUWA NAMPELEKA NA KUMRUDISHA SHULE KILA SIKUU....NAMAANISHA.