Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Acheni kumtisha,wake za watu wanatafunwa uzuri tu.


Duh!

Bishanga! Kuna usemi huu,(KILA KIMLACHO MWENZIE HAKIKA INA NJAA) lakini sasa MKE WA MTU jamani?

Ukipenda mke wa mtu penda na.............................

Ushauri wangu wa bure ni akae mbali naye!
 
unajua vihana wa siku hizi mmekuwa DHAIFU sana ..hayo sio maswali ya kuuliza wazee wewe piga hiyo kitu njoo hapa untupa MAJUMUISHO ....
 
Mtoa mada,kulikoni story nzito kama hii ukaishusha usiku wa manane? Au ulikuwa naye pembeni?
Mshawahi kufanya romance bila ku go all the way?
Ningekuwa wewe kusema ukweli ningempa dozi kisha niingie mitini,utaache mdondo bana?
jamani jamani khaa! mawazo hua yanakuaga mida kama iyo nane tisa usiku
 
Mimi sijakuelewa, mwanaume si riziki, mke hajawahi kutoka nje, mtoto wa 2 si wake, hebu liweke sawa mkuu
 
Maadam ushasema ni mke wa mtu,kaa nae mbali ndugu yng kwa usalama wako.
 
Duh!

Bishanga! Kuna usemi huu,(KILA KIMLACHO MWENZIE HAKIKA INA NJAA) lakini sasa MKE WA MTU jamani?

Ukipenda mke wa mtu penda na.............................

Ushauri wangu wa bure ni akae mbali naye!

mbona nyie waoga hivo? nawashangaa.bishanga siajachagi vya bwerere.
 
Mke wa mtu ni Sumu. Mwogope kama Ukoma!

Asiyejua kufa na atazame kaburi.
 
Si ndio kila siku atakuwa anaulizia jibu akiambiwa hapana kwake inakuwa sio jibu anasubiri tena kesho yake, miaka yetu wakati bado tunaomba unyumba kupitia barua tulikuwa tukimalizia kwa kuandika 'nategemea jibu zuri'

Sasa sie enzi zetu ulikuwa baru a inaandikwa 'kula zabibu toe majibu', afu na sticker za maana.
Ila nod unampiga kalends miaka 2 kuhusu jib, mwisho anakata tamaa na wakati huonweye kila ijumaa ulna kadi ya best wishes, get well soon AMA I mrs you,
 
kuna mmoja tulimchangia sanda na rambirambi hapa hapa.
 
Ngomz unanikera wewe,dume gani weye,kwani kumlamba utamlambia viwanja vya mnazi mmoja kila mtu aone? We vipi?

Tatatizo analiendeleza yeye mwenyewe, kama vipi amlambe, au aoe na amtambulishe mke wake aone kama atajileta tena...
 
Daima angalia sana mambo ya kuwa consoler wa watu hasa wale walio katika mashinikizo na msongo wa kimaisha utajikuta unaingia tu huko. Kuna ushauri mmoja tu, "achana na mke wa mtu hata kama kutomjali kwake kutamsababishia maumivu". Some of us have to be told in a hard way!!!!!!
 
ckushauri kabisa....mpotezee,okiwezekana futa mawasiliano kabisa...tulia tafuta wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…