Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Nadhani huyo mwanamke hafikii sifa alizonazo mchumba wako ndio maana ukaleta mada hapa, vinginevyo ungekwishamaliza biashara. Nina imani wewe ni mtu mzima, mwenye akili timamu kwa hiyo yote waliyokushauri Wakuu humu ndani ni busara tupu na utayafanyia kazi.

Kwa kuwa baadhi ya madereva wa magari makubwa hawajatulia, pengine yeye na mumewe wanajua ukweli wa afya zao. Hatari ya ngono holela zipo nyingi na zinaeleweka,ndiyo maana huyo mwanamke haoni hatari yoyote kutoka nje ya ndoa pengine ni kutokana na kujijua status yake.

Mkuu kwa ufupi huyo ni muuaji, asiposabaisha ufe kwa maradhi itakuwa kwa kupigwa kwa mapanga/bastola/nguvu za giza. Mkimbie Delila kabla Wafilisti hawajakushukia.

Nawasilisha.
 
we bwana acha izo....akijiingiza mstarini, kula head mambo mengine bdae
 
Ufanyeje? Kwani unahitaji kwenda shule kufundishwa jibu la swali lako? Jifikiri hilo unalotaka kufanya kama lingekufurahisha kufanyiwa wewe. Asikuongopee mtu brother suala la mkeo kumegwa ni suala la hatari sana. Linaweza kusababisha vifo, maafa, udugu kuvunjika na hata nchi na nchi kupigana vita. Na wala usijione kuwa una bahati wakati mke wa mtu amekupenda, huo ni mkosi. Obviously una vichwa viwili, I strongly urge you to follow the one upstairs.
 
yani wewe unashangaza sana. tear unamchumba wako. pia unajua huyo nimke wamtu. hivi hujui mke wamtu sumu??????
acha kuiendekeza nafsi. ridhika namchumba wako. wazuri hawaishi.
 
yani wewe unashangaza sana. tear unamchumba wako. pia unajua huyo nimke wamtu. hivi hujui mke wamtu sumu??????
acha kuiendekeza nafsi. ridhika namchumba wako. wazuri hawaishi.
sredi ya mwaka jana july aisee... siajabu jamaa keshaliwa kiboga na sasa kaacha kale kamchezo
 
....kwenye ile field ya nonino, hii habari ukiipekenyua vizuri ni kwamba huyu muuliza swali kashatafuna kitumbua sasa anakuja hapa kutafuta sympathy maana guilty consciousness inamsumbua na kumtafuna. Kumbuka muosha huoshwa, nakuhakikishia pia huyo mchumba wako atamegwa/kashamegwa tu in one way or another, tena omba iwe njia ya kawaida na sio mkiani !!
 
kula mzgo huo ww halafu unakuwa kama Jack beur
 
dont try kaka! jitahidi tu kumpenda mchumba wako na unapokuwa huru jaribu kutumia mda huo na mchumba wako ama hata kuchat na mchumba wako! hayo majaribu yapo lakini yashinde!!!!
 
Duh Mkuu huku kwetu Moshi ukitembea tu na mke wa mtu mkagungulika basi wewe ni chakula tarajiwa ya mwenye mke yaani kulee kwenye ule mtandao mwingine wa ki-Cameroun so wewe jichanganye halafu uandae kabisaa na mafuta au KY.
 
Yes nina mchumba ndio maana nataka nisiingie ndani zaidi kuharibu. but she keep on texting and calling me

kata kata.. u knw watu wengi wa jamvini wanaongeaga tu kuna mambo mengine kuvumilia yanaitaji roho ngumu jamani.. piga one time kwa kuweka heshima then sepa .
 
Duh Mkuu huku kwetu Moshi ukitembea tu na mke wa mtu mkagungulika basi wewe ni chakula tarajiwa ya mwenye mke yaani kulee kwenye ule mtandao mwingine wa ki-Cameroun so wewe jichanganye halafu uandae kabisaa na mafuta au KY.

ha haaa haaaaa
 
Jiweke pembeni pepo huyo anataka kukuharibia maisha kumbuka ana family huyo usije kujuta ukakuta umechelewa chukua maamuzi magumu ..
 
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j’tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I’m not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.
Moja ya sifa ya kua THE BEST HUSBAND and FATHER of a Family ni msimamo kuhusu mahusiano,na Uhaminifu kwa mwenzi....nikiyajua hayo kama mwanaume hakuna cha figure wala ways of talking hapa.....Ebu kaa nafasi ya uyo grfnd wako alafu yeye akae yako ndo awaze kama wewe itakuaje,pili mke wa mtu ni sumu,KiMbiaaaaa...utalogwa uwe chizi ama ufe,kuna jamaa ninae mjua alikufa kwa swala kama lako,walitumwa watu WAKAMTEKA leo Hatunae.
 
Kama wewe ni jasiri............. Utajitawala kwani umeshagundua hali ambayo itatokea muda si mrefu. Note: Malipizi ni hapa hapa duniani............. Imagine your girl naye anafanya hivyo How would you feel!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dar na tanzania kwa ujumla warembo ni wengi.Kama una mchumba na unatamani kwa haraka kiivyo hakika ndoa yako itakushinda na ngoma iko mlangoni kwako.Tumia busara ndugu yangu.
 
MKUBWA Imagine ndio ww mkeo anamzimia jamaa namna hiyo ww ukienda kwa office. siunge pata kuchukia ajabu basi the same to you usile mali za watu mbona mali za umma kibao na zipo so cute than her
sikuombei mabaya lalikini ukila mali ya mtu na ww sikumoja utarudi hapahapa kutuomba ushauri kuwa mali yako imeliwa
NAJUA KABISA KUWA KWA MWANAUME HATA TUKUSHAURI VP UTAKWENDA TU KULA MALI ZA WATU ninavyo ona ni kwamba unatafuta waji wa mali za watu wakupe maujanja
KAMA UTA KULA BASI UTANIKUMBUKA TU SIKU MMOJA KWA MKEO
 
Back
Top Bottom