Penye red, wanatia huruma sana barabarani hasa kugombania daladala na kusimama muda mrefu ha ha ha aaaaa!
sredi ya mwaka jana july aisee... siajabu jamaa keshaliwa kiboga na sasa kaacha kale kamchezoyani wewe unashangaza sana. tear unamchumba wako. pia unajua huyo nimke wamtu. hivi hujui mke wamtu sumu??????
acha kuiendekeza nafsi. ridhika namchumba wako. wazuri hawaishi.
Yes nina mchumba ndio maana nataka nisiingie ndani zaidi kuharibu. but she keep on texting and calling me
Duh Mkuu huku kwetu Moshi ukitembea tu na mke wa mtu mkagungulika basi wewe ni chakula tarajiwa ya mwenye mke yaani kulee kwenye ule mtandao mwingine wa ki-Cameroun so wewe jichanganye halafu uandae kabisaa na mafuta au KY.
Moja ya sifa ya kua THE BEST HUSBAND and FATHER of a Family ni msimamo kuhusu mahusiano,na Uhaminifu kwa mwenzi....nikiyajua hayo kama mwanaume hakuna cha figure wala ways of talking hapa.....Ebu kaa nafasi ya uyo grfnd wako alafu yeye akae yako ndo awaze kama wewe itakuaje,pili mke wa mtu ni sumu,KiMbiaaaaa...utalogwa uwe chizi ama ufe,kuna jamaa ninae mjua alikufa kwa swala kama lako,walitumwa watu WAKAMTEKA leo Hatunae.Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo jtano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but Im not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.
mkishakua na vigari vya mkopo mnataka kuchomeka kila mahali.