Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

we bwana acha izo....akijiingiza mstarini, kula head mambo mengine bdae

kuna mtoa mada mmoja yeye alisema kila akitongoza anakataliwa sasa hiyo ngoma ugemsogea kwa KISGINO yule bigwa wa kukataliwa pole
 

Usiogope Mkuu mwenzio anataka kujihakikishia lifti kila siku si unajua adha ya daladala hapa mjini, na kwa wengine kwa usalama wa wake zenu jitahidi kuwapeleka wanakotoka au kuwakikishia usafiri vinginevyo watatafunwa na watoa lifti ha haaaa.....
 
ooh kaka cha mtu sumu, ogopa sana mke wa mtu, kumbuka mla cha watu na chake huliwa. omba mungu akuondolee hiyo tamaa ya kuwa na huyu mke wa mtu. kumbuka wazuri ni wengi na wanazidi kuzaliwa. mm na imani kuwa hata huyo mchumba wako n mzuri sana na ndo maana ukaamua uamuzi wa kuwa nae.
 

Mithali:
Usiutamani uzuri wake moyoni mwako; wala usikubali akunase kwa kope zake.
Je! mtu aweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zake zisiungue? Ndivyo ilivyo aingiaye kwa mke wa mtu.
Mkuu, ikimbie zinaa; Ukitembea na mke wa mtu, ni sawa na kukanyaga makaa ya moto! The choice is yours; unaweza kusuka au kunyoa.
 
kuwa na mchumba i natosha kuonyesha kuwa ni mzuri,,, hadi kuweza kutamka mchumba kwa kweli unamkubali mwenzako,,,, sasa mke wa mtu wa nini ? achana na tamaa za mwili,,, mpendezeshe mchumba wako huyooooo... utajakufa siku si zako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…