Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,356
- 2,342
Na maana ya nyongeza juu umepewa.Tz ndio mkufuu na Kenya ndiyo Mwanafuu.
Kenya should respect Tz.
Nadhani hii ulikwa hujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na maana ya nyongeza juu umepewa.Tz ndio mkufuu na Kenya ndiyo Mwanafuu.
Kenya should respect Tz.
Cha mkufuu mwanafuu Hali,na akila hufa....Cha mwanafuu mkufuu hula na akila hafi..Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?
Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.
Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.
Cha mkufunzi mwanafunzi huwa hali, na akikula atakufa. Lakini cha mwanafunzi mkufunzi aweza hula na akikula hawezi kufa.Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?
Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.
Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.
Upo sahihi mkuu, Mwalimu hula cha mwanafunzi na hadhuriki na mwanafunzi akila cha mwalimu inakuwa shidaHapo naona kuna watu wawili... Mkufuu na Mwanafuu!!
Mmoja akila cha mwenzake, poa tu (akila "ha") lakini yule aliyeliwa chake nae akita ale cha aliyemla, inageuka kuwa nongwa ("hu")!
Anyway, hiyo ni literal meaning!
Hakika Kiswahili kigumu!!
Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?
Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.
Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila h
Dah naona umepata. Sasa unataka zawadi gani? Mbona Watz wenzako wanasema kuwa hio sio methali?Hiyo methali ipo hivi:- "Cha mkufunzi mwanafunzi hali na akila hufa. Cha mwanafunzi mkufunzi hula na akila hafi."
Mokaze na Bishop Hiluka ndio wamepata jibu sahihi. Maana yake ni kuwa jambo ambalo mkufunzi anaweza kufanya mwanafunzi hawezi na akijaribu atashindwa. Jambo ambalo mwanafunzi anaweza kuifanya mkufunzi anaweza kuifanya na akijaribu atafaulu. Yaani jambo ambalo Tanzania inaweza kufanya Kenya pia inaweza kufanya na jambo ambalo Kenya inaweza kufanya Tanzania haiwezi kufanya na ikijaribu itashindwa.Hii hata mimi nimetoka kapa, ila nahisi hapo mkufuu ruksa kula cha mwanafuu.....
wasalimie hapo kiberaMokaze na Bishop Hiluka ndio wamepata jibu sahihi. Maana yake ni kuwa jambo ambalo mkufunzi anaweza kufanya mwanafunzi hawezi na akijaribu atashindwa. Jambo ambalo mwanafunzi anaweza kuifanya mkufunzi anaweza kuifanya na akijaribu atafaulu. Yaani jambo ambalo Tanzania inaweza kufanya Kenya pia inaweza kufanya na jambo ambalo Kenya inaweza kufanya Tanzania haiwezi kufanya na ikijaribu itashindwa.
Full meaning yake bila kuifupisha ni hivi:
Cha mkufunzi mwanafunzi hali na akila hufa. Cha mwanafunzi mkufunzi hula na akila hafi
Mokaze na Bishop Hiluka ndio wamepata jibu sahihi. Maana yake ni kuwa jambo ambalo mkufunzi anaweza kufanya mwanafunzi hawezi na akijaribu atashindwa. Jambo ambalo mwanafunzi anaweza kuifanya mkufunzi anaweza kuifanya na akijaribu atafaulu. Yaani jambo ambalo Tanzania inaweza kufanya Kenya pia inaweza kufanya na jambo ambalo Kenya inaweza kufanya Tanzania haiwezi kufanya na ikijaribu itashindwa.
Full meaning yake bila kuifupisha ni hivi:
Cha mkufunzi mwanafunzi hali na akila hufa. Cha mwanafunzi mkufunzi hula na akila hafi
UMEMCHAGULIA MJI KABISAAisee hiyo ni methali ya kikuyu😂
Sasa methari au msemo?Cha mkufuu ni chake hakiwezi kuwa cha mwanafuu
Na cha mwanafuu ni chake hakiwezi kuwa cha mkufuu..
Hii sio methali bwanaWacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?
Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.
Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.
Siku hizi ni vice versa. Mkufunzi anashindwa na mwanafunzi. Wanafunzi wamemea pembe hatari hadi mkufunzi anaogopa kuzikata! 🤣 🤣 🤣 🤣Mokaze na Bishop Hiluka ndio wamepata jibu sahihi. Maana yake ni kuwa jambo ambalo mkufunzi anaweza kufanya mwanafunzi hawezi na akijaribu atashindwa. Jambo ambalo mwanafunzi anaweza kuifanya mkufunzi anaweza kuifanya na akijaribu atafaulu. Yaani jambo ambalo Tanzania inaweza kufanya Kenya pia inaweza kufanya na jambo ambalo Kenya inaweza kufanya Tanzania haiwezi kufanya na ikijaribu itashindwa.
Full meaning yake bila kuifupisha ni hivi:
Cha mkufunzi mwanafunzi hali na akila hufa. Cha mwanafunzi mkufunzi hula na akila hafi