Ni mkoa gani umeshawahi kufika na hautamani kurudi tena?

Tanzania yote ni nzuri hakuna sehemu ambayo sitaki kurudi tena. Sema mji wa Bukoba nadhani ndo mji wa hovyo kuliko miji yote ya Tanzania. Lindi nako sijajua paliwezaje kuwa manispaa wakati ni mji unaonuka umaskini. Ndo mji niliona gesti imefunguliwa na kiongozi wa mbio za mwenge kama mradi wa maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…