Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Bukoba , mji mdogo naoupenda zaidi Tz. Pametulia, beach life, vyakula vya asili, hakuna uswahiliTanzania yote ni nzuri hakuna sehemu ambayo sitaki kurudi tena. Sema mji wa Bukoba nadhani ndo mji wa hovyo kuliko miji yote ya Tanzania. Lindi nako sijajua paliwezaje kuwa manispaa wakati ni mji unaonuka umaskini. Ndo mji niliona gesti imefunguliwa na kiongozi wa mbio za mwenge kama mradi wa maendeleo.