Ni mkoa gani umeshawahi kufika na hautamani kurudi tena?

Kuna mikoa unaenda mara unatishika, watu wanachomana visu, kila bar lazima ugomvi utokee.
Wasichana wanavuta bangi, wanapigana na punda hadi punda anakufa.

Arusha sina hamu
DAR ES SALAAM......li-mkoa moja la HOVYO sana.
 

Bukoba itoe kwenye upuuzi wa lindi,bkb levo nyingine asee,sema hupendi mvua.
 
TANZANIA hakuna sehemu mbaya..tembelea nchi kama Congo au za huko West Africa utaelewa nini namaanisha..
 
Mahala popote naishi kikubwa chakula na maji safi viwepo,
 
DAA SILAMU a.k.a NJAA SILAMU

Jotroo, minuko kama yote.

Kila pahala pananuka mavi na samaki waliooza.

FUKUTO, msongamano, chips za mitaroni 🥴

Wavulana wa NJAA SILAMU wanakunya aiseee DAAAAAAH

cocastic weraaa ayuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…