Siendi mbinguni.
Shule ya msingi mwongozo, kichangani wilaya ya kinondoni wanauziwa wali kwa bei hiyo mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wali 200
Shule ya msingi mwongozo, kichangani wilaya ya kinondoni wanauziwa wali kwa bei hiyo mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wali 200
[emoji23][emoji23][emoji23] kwaio ukienda na buku unabeba maskini wenzio km wa 4 iviShule ya msingi mwongozo, kichangani wilaya ya kinondoni wanauziwa wali kwa bei hiyo mkuu.
Utapata quality kulingana na pesa yako.Kula sawa.
Huo wali maharagwe wa 2000 unajua ubora wake?
Kwanini chato? kuna kitu unakitafutaKuna mikoa unaweza jikuta mkoa mzima unayeongea lafudhi ya kiswahili iliyonyooka na fasaha ni wewe, unageuka kuwa wa maonyesho.
Dar is the best unakula chochote mda wowote kwa kiasi cha pesa ulichonacho, kuna wali maharage wa 200 mpaka wali maharage wa laki 2, unachotaka unapata kulingana na pesa yako, kwingine unapesa ila hakuna quality ya ukitakacho, mfano Chato mji mzima hakuna kachori hawajui ila Dar kila kitu unapata.
Unamaana mzee Baba ukimpa kachori anaweza kui font peji?Kuna mikoa unaweza jikuta mkoa mzima unayeongea lafudhi ya kiswahili iliyonyooka na fasaha ni wewe, unageuka kuwa wa maonyesho.
Dar is the best unakula chochote mda wowote kwa kiasi cha pesa ulichonacho, kuna wali maharage wa 200 mpaka wali maharage wa laki 2, unachotaka unapata kulingana na pesa yako, kwingine unapesa ila hakuna quality ya ukitakacho, mfano Chato mji mzima hakuna kachori hawajui ila Dar kila kitu unapata.
Tangaaa raha in Kassim Mganga's voiceTanga raha jamani!
Mchele VP unapenya vidoleniShule ya msingi mwongozo, kichangani wilaya ya kinondoni wanauziwa wali kwa bei hiyo mkuu.
@platzoom habari ndo maana nimeongelea mambo ya quality pia.
Acha uongo ww mbona hatuoni huo ugreen ya vumbi tupu aliyeita mbeya city Mungu anamwona.Mbeya the green city
AM WITH U,,,NAIPENDA DOM BALAAA, NIMEISHI PALE MIAKA MITANO, BT THEN NOW NIPO MBEYA ILA NATAMANI SANA NIRUDI DOMNiko dsm ila kiukweli I love Dom, kuanzia hali ya hewa na mazingira, na everything, sehem za starehe, i mean kila kitu, japo life popote ila I wish nipate uhamisho nipangiwe huko, nahamisha familia yangu yote.
How abt u guys, What's your favourite region any why.
Arusha nna historia napo piaYechu Yechu Dingilai. Mambo ni Dandara. Mamikoa yenu yamedorora hadi kudoda, huku kwetu ni kuwanda kwa kwenda mapeleeee. Yech yechu Ara Chuga moja babulai. Ngarenaro ndio manchi yetu acha sasa Olodonyo Sambu Namanga ndio mamikoa yetu.
Karibu Harifu