henryloso15
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 209
- 164
Karibu ntakuwa host wakoNatamani kutembea Arusha ni mikoa pendwa katika moyo wangu.
Itakuwa huifahamu vizuri Mbeya.Acha uongo ww mbona hatuoni huo ugreen ya vumbi tupu aliyeita mbeya city Mungu anamwona.
Dom aisee ni sehemu stahiki; tupilia mbali watu wanavyousimanga mkoa huo ila ni sehemu njema sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu amehack uziSiamin tupo kurasa ya 3 na bado hamjataja mkoa wa Iringa, au kuna mtu amewadukua?
Kama mchina vileNdo maana nimeongelea mambo ya quality pia, umzima?
Utapata quality kulingana na pesa yako.
Mtu anachagua Dodoma af anaiacha iringa, kwel watanzania tupimwe akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu amehack uzi
[emoji23][emoji23][emoji23]Chato,kuna traffic light za kuongozea ngombe
Dom kuna hali hewa gani zaidi ya kupauka kama t*k*,nilipita kitambo sana hapo Dom yaani watu wamepauka hata wakipaka mafuta ya kupikia hawang'aiNiko dsm ila kiukweli I love Dom, kuanzia hali ya hewa na mazingira, na everything, sehem za starehe, i mean kila kitu, japo life popote ila I wish nipate uhamisho nipangiwe huko, nahamisha familia yangu yote.
How abt u guys, What's your favourite region any why.
Hahahaha....Aisee dizim napakubali kinoma
Shule ya msingi mwongozo, kichangani wilaya ya kinondoni wanauziwa wali kwa bei hiyo mkuu.
Jaribu arusha saa Tisa viazi zinaingia kwenye mafutaDsm kuna raha yake bwana saa sita usiku watu hawana hata dalili ya kulala