Arusha panapoa mapema sana.Jaribu arusha saa Tisa viazi zinaingia kwenye mafuta
Kaloleni hailali hata saa 8 mchana Malaya wako road ,wa dar wanatoka usiku tuArusha panapoa mapema sana.
Panaanzaje kwa mfano● Hakuna mahali kama ARUSHA.
...×.....×.....×....×......×.....×.....×.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo ukitoa buku ni sahani tano.
Ukiwa na wageni unawapeleka hotelini kuwalisha wote kila mmoja na sahani yake kwa buku.
Hahaha we jamaa unapapenda sana Manyovu, kuna siku nilisahau kuja bila sweta nilisumbuka sana kwa baridiManyovu kuna starehe zaidi ya Las Vegas
Unatafutwa na zero IQMwanza
[emoji3][emoji3]Unatafutwa na zero IQ
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hahahaaaa kuliko Las VegasManyovu kuna starehe zaidi ya Las Vegas
Aisee Kilimanjaro my mother land nakupenda sanaNiko dsm ila kiukweli I love Dom, kuanzia hali ya hewa na mazingira, na everything, sehem za starehe, i mean kila kitu, japo life popote ila I wish nipate uhamisho nipangiwe huko, nahamisha familia yangu yote.
How abt u guys, What's your favourite region any why.
Mwanza pamenipa limbwata,