Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Huu mkoa wa pili kuupenda Tanzania baada ya Kilimanjaro ....nakupenda arushaYechu Yechu Dingilai. Mambo ni Dandara. Mamikoa yenu yamedorora hadi kudoda, huku kwetu ni kuwanda kwa kwenda mapeleeee. Yech yechu Ara Chuga moja babulai. Ngarenaro ndio manchi yetu acha sasa Olodonyo Sambu Namanga ndio mamikoa yetu.
Karibu Harifu
Iringa nako kuzuri jaman msiitengeMtu anachagua Dodoma af anaiacha iringa, kwel watanzania tupimwe akili
Manyovu ni eneo mpakani na Burundi iko kigoma. Sio mkoa. Sema kigomaManyovu kuna starehe zaidi ya Las Vegas
Polo hamtaki tena msukuma??Lindi
Mkoa unao tarajiwa kutoa Rais mpendwa(Membe) wa wana Tz.
Hahahaaaaaa nyegezi pale transition camp nilikaa sanaHasa pale nyegezi sio?
Hasa pale nyegezi sio?
Hauna tofauti na wa elf 50Kula sawa.
Huo wali maharagwe wa 2000 unajua ubora wake?
"Kufa,fufuka Mbeya is green city jo 🌳(es verde ciudad ese)" Omo luxa=Acha uongo ww mbona hatuoni huo ugreen ya vumbi tupu aliyeita mbeya city Mungu anamwona.
Ile baridi sijawaza kurudi tena Mbeya"Kufa,fufuka Mbeya is green city jo [emoji269](es verde ciudad ese)" Omo luxa=
Hhhhhh!! karbu tena mkuu Mbeya ni Switzerland within Africa maprova kwa sana....we ain't no problem with ColdIle baridi sijawaza kurudi tena Mbeya
Iringa ina nini? Dom is the Best.Mtu anachagua Dodoma af anaiacha iringa, kwel watanzania tupimwe akili
Iringa ina hali ya hewa nzur,maji ya uhakika na uoto wa asili. Si kama Dom vumbi jingi,ombamba weng na maji ya magadiIringa ina nini? Dom is the Best.
Hahaaaa!! Pale Kati..!!
Hahaaaa!! Pale Kati..!!
Sio mimi baba ni WaTzPolo hamtaki tena msukuma??
Hamna kitu huko usafir ni hatar janda,Mnanila kajana duuu hatar aiseee ila MTU kwaoManyovu kuna starehe zaidi ya Las Vegas