Ni mkoa gani uupendao kuliko yote.

Ni mkoa gani uupendao kuliko yote.

Yechu Yechu Dingilai. Mambo ni Dandara. Mamikoa yenu yamedorora hadi kudoda, huku kwetu ni kuwanda kwa kwenda mapeleeee. Yech yechu Ara Chuga moja babulai. Ngarenaro ndio manchi yetu acha sasa Olodonyo Sambu Namanga ndio mamikoa yetu.
Karibu Harifu
Huu mkoa wa pili kuupenda Tanzania baada ya Kilimanjaro ....nakupenda arusha
 
Bukoba is the best to me! Hali ya hewa rafiki sio baridi kali sana, kuna borders nyingi, masamaki ya ziwa, vyakula kama vyote starehe ndo mahala pake!
 
Back
Top Bottom