Ni mkosi au ndo biashara ya bodaboda ilivyo?

Siamini ktk kuwekeza kwenye vyombo vya moto,ni bora nijenge chumba cha kupangisha
 
Mi ilinishindaga nikayauza maboksa halafu niliyemuuzia nayeye akanizulumu hela, nikaona aah sio kesi!!
akakudhulumu ukamwachia Mungu? dah! mkuu nipe mimi jukumu la kudai Kwa njaa nlio nayo Atalipa tu ilimradi anadaiwa haki ya nani tena?
 
Siamini ktk kuwekeza kwenye vyombo vya moto,ni bora nijenge chumba cha kupangisha
yah na ndo maana biashara inakuwa poa. wote wakiweza inakuwa ngumu lazima wengine wajenge wengine vyombo vya moto ila kwa upande wangu nyumba zakupanga ni ka nazika hela
 
akakudhulumu ukamwachia Mungu? dah! mkuu nipe mimi jukumu la kudai Kwa njaa nlio nayo Atalipa tu ilimradi anadaiwa haki ya nani tena?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hyo unataka upewe Kazi Kama ya Majembe Auction Mart?
 
Poole biashara ya bodaboda bora uendeshe mwenyewe bodaboda ni vichaa haswa
 
Hapa ndo naanza kuamini ule usemi wa kusema biashara hii hailipi.
Kuna watu wanawaza kumiliki bodaboda coz wamesikia zinalipa, wengine ndo wanazikimbia.
Hata kweny nyumba ya kupangisha kuna mda utashangaa unapigwa sound na wapangaji au chumba kikae mwez au hata zaid bila mpangaji....
Safar ya mafanikio kwa kwel haina formula kabsaa lkn hatupaswi kukata tamaa kila kukicha lazma tupambane.
 
Miguel Felix Angle Gallardo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…