Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akakudhulumu ukamwachia Mungu? dah! mkuu nipe mimi jukumu la kudai Kwa njaa nlio nayo Atalipa tu ilimradi anadaiwa haki ya nani tena?Mi ilinishindaga nikayauza maboksa halafu niliyemuuzia nayeye akanizulumu hela, nikaona aah sio kesi!!
FACT...Siamini ktk kuwekeza kwenye vyombo vya moto,ni bora nijenge chumba cha kupangisha
Mi nageuza nalo ili nipate sitFACT...
tuko gari moja mkuu sijui we unashukia kituo gani?
Mimi naenda hadi mwisho wa safari...
yah na ndo maana biashara inakuwa poa. wote wakiweza inakuwa ngumu lazima wengine wajenge wengine vyombo vya moto ila kwa upande wangu nyumba zakupanga ni ka nazika helaSiamini ktk kuwekeza kwenye vyombo vya moto,ni bora nijenge chumba cha kupangisha
Chumba Cha kupangisha ni elfu 40 kwa mwezi hawezi kukidhi mahitajiSiamini ktk kuwekeza kwenye vyombo vya moto,ni bora nijenge chumba cha kupangisha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]akakudhulumu ukamwachia Mungu? dah! mkuu nipe mimi jukumu la kudai Kwa njaa nlio nayo Atalipa tu ilimradi anadaiwa haki ya nani tena?
Kabisa mkuu😀😀😀[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hyo unataka upewe Kazi Kama ya Majembe Auction Mart?
Iwe ni kimoja au ni self nitaanzia hapo halafu naendelea kujenga vingine hapo nakula hela yangu bila mawazoChumba Cha kupangisha ni elfu 40 kwa mwezi hawezi kukidhi mahitaji
Poole biashara ya bodaboda bora uendeshe mwenyewe bodaboda ni vichaa haswaNi mwaka mmoja nimekuwa kwenye hii biashara ya bodaboda, wiki 2 zilizopita baada ya kubadilisha tairi LA mbele la toyo, leo bike yangu ya toyo imepiga shoti kwenye wiring..sasa cjui ni dereva wa bodaboda anakula njama na fundi ili nitoe hela, hlf toyo yenyewe mwezi wa pili mwaka huu ndo imetimiza miaka 3 tu tangu inunuliwe, wiring elf 20 hlf hesabu elf 30 kwa wiki kuna faida hapo kweli
Narekebisha ili tatizo, ikitokea tatizo lingine nauza bike😡sijui wameniloga, coz juzi nlianza kuuza skygo kwa mkataba, nkiuza hizi bike mbili ntabakiwaa na bike 1, sijui ndo kufilisika kunapoanzia..
Labda viwe vyumba 10 ndio vitakusaidia lkn sio kimojaIwe ni kimoja au ni self nitaanzia hapo halafu naendelea kujenga vingine hapo nakula hela yangu bila mawazo
Miguel Felix Angle GallardoMkuu nimemwambia kama mtaji wake ni mdogo ni bora aifanye mwenyewe kuna dhumuni gani la kuajiri mtu akuuzie duka lako na wewe upo? Hio biashara hatoweza kuifanya kwa ufanisi mkubwa kama utakaoufanya wewe nk.kuajiri watu hakuepukiki biashara ikishakuwa kubwa na wewe mfanya biashara una experience ya kutosha wa mzunguko na output ya biashara nk huyo bodaboda anamuibia kama anabisha aingie mwenyewe barabarani aone