Pole sana ndugu biashara ya mpesa,tgopesa ni nzuri kwako ila inatakiwa uzingatie sana location maana inahitaji eneo lenye muingiliano mkubwa wa watu ili upate faidaWaungwana,
Mimi ni mlemavu wa miguu uliotokana na kuumia vibaya mgongo, natumia Wheelchair na ninaishi uswahilini maeneo ya ndani ndani, Natamani kufanya biashara yenye faida na isiyoitaji mtaji mkubwa wala usumbufu mwingi.Nina kiasi cha Tsh 2M,Kati ya kiduka ama uwakala wa tigo pesa.
Ama mnishauri kwa ziada wataalamu wa ujasiriamali
Waungwana,