Mgjd
JF-Expert Member
- Feb 19, 2012
- 532
- 132
Waungwana,
Mimi ni mlemavu wa miguu uliotokana na kuumia vibaya mgongo, natumia Wheelchair na ninaishi uswahilini maeneo ya ndani ndani, Natamani kufanya biashara yenye faida na isiyoitaji mtaji mkubwa wala usumbufu mwingi.Nina kiasi cha Tsh 2M,Kati ya kiduka ama uwakala wa tigo pesa.
Ama mnishauri kwa ziada wataalamu wa ujasiriamali