Ni mlemavu wa miguu, biashara gani inanifaa?

Mgjd

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
532
Reaction score
132
Waungwana,

Mimi ni mlemavu wa miguu uliotokana na kuumia vibaya mgongo, natumia Wheelchair na ninaishi uswahilini maeneo ya ndani ndani, Natamani kufanya biashara yenye faida na isiyoitaji mtaji mkubwa wala usumbufu mwingi.Nina kiasi cha Tsh 2M,
Kati ya kiduka ama uwakala wa tigo pesa.

Ama mnishauri kwa ziada wataalamu wa ujasiriamali
 
kwanza pole sana kwa kuumia mgongo.
 
Waungwana,

Mimi ni mlemavu wa miguu uliotokana na kuumia vibaya mgongo, natumia Wheelchair na ninaishi uswahilini maeneo ya ndani ndani, Natamani kufanya biashara yenye faida na isiyoitaji mtaji mkubwa wala usumbufu mwingi.Nina kiasi cha Tsh 2M,
Kati ya kiduka ama uwakala wa tigo pesa.

Ama mnishauri kwa ziada wataalamu wa ujasiriamali
Pole sana ndugu biashara ya mpesa,tgopesa ni nzuri kwako ila inatakiwa uzingatie sana location maana inahitaji eneo lenye muingiliano mkubwa wa watu ili upate faida
 
Waungwana,

Mimi ni mlemavu wa miguu uliotokana na kuumia vibaya mgongo, natumia Wheelchair na ninaishi uswahilini maeneo ya ndani ndani, Natamani kufanya biashara yenye faida na isiyoitaji mtaji mkubwa wala usumbufu mwingi.Nina kiasi cha Tsh 2M,
Kati ya kiduka ama uwakala wa tigo pesa.

Ama mnishauri kwa ziada wataalamu wa ujasiriamali

umeshaanza biashara tayari
 
Back
Top Bottom