Design Your Idea
Senior Member
- Jun 3, 2024
- 154
- 480
Nakumbuka kuna mwamba mmoja aliekuwa akitumia ID tofauti kutongoza warembo wa JF, sasa kwa bahati mbaya au nzuri akawa anatumia ID tofauti na akajisahau akawa anawatumia mademu namba ile ile ya simu kwa ID tofauti tofauti , alafu unakuta anatumia akaunti kuponda kama ukimkataa, si akaja kuwa exposed, 😁😁 ,alinywea tangu kipindi hicho