Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
Nalijua vizuri hilo ila najifanya kama silijui.
Yaani naangalia tu!
Nalijua vizuri hilo ila najifanya kama silijui.
Yaani naangalia tu!
😂 Yako ni yangu !Post nzuri, nitashare yangu ila ngoja kwanza huyu mrembo smart aseme yake kwanza
binti kiziwi
Natamani sana kusikia Yako, please shusha vitu nasubiri hapa😂 Yako ni yangu !
Mpwayungu VillageSijui alikuwa anajiita marangu village sijui mparungu somthing like that, alikuwa na hasira sana na ualimu😁😁
Ndio legend ni Mpwayungu Village
He's truly missedRIP warumi
Enzi hizo JF ilikuwa haipoi kwa mastor ya town matukio ya wasanii
huyo jamaa ni mwalimu ila cha ajabu alikuwa anawachukia walimu wenzake ile mbayaNdio legend ni Mpwayungu Village