Design Your Idea
Senior Member
- Jun 3, 2024
- 154
- 480
Sijui alikuwa anajiita marangu village sijui mparungu somthing like that, alikuwa na hasira sana na ualimuππKuna mwamba alikua anaunanga Sana ualimu miaka ya 22-23 ilikua haipiti wiki anakula ban
Yes anaitwa Mpwayungu Village hahahahahaπ π π πSijui alikuwa anajiita marangu village sijui mparungu somthing like that, alikuwa na hasira sana na ualimuππ
Mpwayungu ππKuna mwamba alikua anaunanga Sana ualimu miaka ya 22-23 ilikua haipiti wiki anakula ban
Hatuna kumbukumbu vizuri ila ni kipindi soko la watumwa linafungwa.Mwaka gani?
NomaHatuna kumbukumbu vizuri ila ni kipindi soko la watumwa linafungwa.
Mpwayuwangu au?Kuna mwamba alikua anaunanga Sana ualimu miaka ya 22-23 ilikua haipiti wiki anakula ban
1873Hatuna kumbukumbu vizuri ila ni kipindi soko la watumwa linafungwa.
Noma kweli yaani!Kuna mwana JF ambae hadi leo akiitwa mtaani anasikia kama mtu anasema "makalioooo, makaliooo, njoo"
Alijifanya muhuni ila akabadilishwa kuwa makalio na amejikubali
Msemo hadi umefika mitaani sasa.
πππ
secretarybird
Chizi Maarifa
Ahahahahahahaaaa noma sana!Noma kweli yaani!
Imagine huo msemo nimekutana nao huku mtaa wa saba nilikohamia siku hizi.
Nimekuta sehemu fulani wameandika kwenye kiti cha plastic, "UKIWA NA MAKEBO MAKUBWA KUPINDUKIA USIKAE, UTAVUNJA".
Nilicheka hadi nikapaliwa na bazoka.
Ndio legend ni Mpwayungu VillageMpwayuwangu au?