Kwamba hiyo Serbian film ni zaidi ya saw. Hapo lazima niitafuteMkuu SAW na yenyewe naielewa ina mambo mengine unayaangalia kwa jicho moja ukiwa umeliminya,ila hii A serbian film inakuharibu mpaka kifikra na kihisia
dah,kama hiyo nizaidi..mkuu kwangu hapana maana hiyo saw tu nilivyocheki chakula hakikushuka kabisa na ilichikua mda kutoka kichwani..sasa hiyo a serbian film sindo itakua balaaMkuu SAW na yenyewe naielewa ina mambo mengine unayaangalia kwa jicho moja ukiwa umeliminya,ila hii A serbian film inakuharibu mpaka kifikra na kihisia
Mkuu hiyo ina unyang'au wa kutosha,mpaka unajiuliza hii movie director au alieandika scripts ni binadamu au ni wakala wa shetani,kiufupi ilipigwa ban isionyeshwe kabisa nchi nyingi Dunianidah,kama hiyo nizaidi..mkuu kwangu hapana maana hiyo saw tu nilivyocheki chakula hakikushuka kabisa na ilichikua mda kutoka kichwani..sasa hiyo a serbian film sindo itakua balaa
So haipatikani kabisa?Mkuu hiyo ina unyang'au wa kutosha,mpaka unajiuliza hii movie director au alieandika scripts ni binadamu au ni wakala wa shetani,kiufupi ilipigwa ban isionyeshwe kabisa nchi nyingi Duniani
Kama ni hii mbona ya kawaida tu jamaa itakuwa muoga wa pweza maana si kwa pweza yule..🤣Life ndo ile wanaenda kwenye outer space afu vitimbwi vinaanza?
kha!! acha niwaachie wenye roho ngumu kwakweliMkuu hiyo ina unyang'au wa kutosha,mpaka unajiuliza hii movie director au alieandika scripts ni binadamu au ni wakala wa shetani,kiufupi ilipigwa ban isionyeshwe kabisa nchi nyingi Duniani
Hivi imeshaendelea maana si alifika mpk duniani..😂mkuu yule pweza alikua si wa kawaida alikua anapenya kwenye tundu lolote la mwili
Ile ya kituruki ya yule ARAT BULUT (MEMO)..nzuri sana ile movie.Kuna moja inaitwa Miracle in Cell no.7....hii ni moja ya movie inayohuzunisha sana.