Ni movie gani ambayo ulishawahi kuiangalia halafu baadaye ukajuta kwanini umeiangalia?

Ni movie gani ambayo ulishawahi kuiangalia halafu baadaye ukajuta kwanini umeiangalia?

Mkuu ndo hiyo hiyo,we unaionaje hiyo movie mi nahisi sio movie ya kupendekeza mtu mwingine aiangalie,inafikirisha sana ile movie.
ile muvi haiko vile kiuhalisia kama unavyoitazama!
ile muvi wametumia kama METAPHOR flani..
ina ujumbe tofauti kabisa na unavyoitazama..!

kaa utulie iangalie tena!
ile muvi ni ya kisiasa kuliko kijamii
 
Ha ha kuna Hostel part 1 mpaka 3 nilijuta kuangalia japo niliinjoy

Yah mkuu hiyo movie inatisha na kuogopesha juu
Yani watu wanalipia pesa wakaue wenzao jaman jaman[emoji25]
 
Wakuu kwema?

Niende kwenye mada husika,nauliza hivi ni movie gani ulishawahi kuiangalia lakini baada ya kuisha ukajuta kwanini umeingalia kutokana na mambo ambayo umeyaona humo yanaweza kua mauaji,usaliti,uchawi n.k.

Mimi binafsi ni mpenzi wa kuangalia filamu ile sana na nimetazama nyingi sana lakini kuna movie moja mpaka leo hua najuta kwanini niliiangalia.Filamu yenyewe inaitwa A SERBIAN FILM.

Wakuu siwashauri muingalie hiyo movie kama roho yako ni nyepesi na kama kuna mdau alishawahi kuicheck hebu njoo utoe mawazo yako uliionaje.

Na pia hebu taja movie yako ambayo unajuta mpaka leo kuitazama

Nawasilisha
Kidogo muv inayotisha ni ile ya Hassan ya yule jamaa hapend kuswali ila hzo zingine hamna matisho yyt yale
 
Mkuu wewe umeangalia hostel ipi ambayo haitishi?
Zote si zile wanafunzi wanaenda nchi
Mkuu wewe umeangalia hostel ipi ambayo haitishi?
Zote mbili ya kwnza wanafunzi wanaenda nchi nyngin kufika kule walienda club baadae kuna jamaa aliwapeleka hostel aliwaambia kuna madem shazi uko ndo matatzo yalipowakuta alipona m1 tu ambaye alikatika kidole then mwishon sijui ni namba mbili anakutana na jamaa aliemtesa akamkata kidole kama yy alivyokatwa then akamuua chini

Part2 nakumbuka jamaa m1 aling'atwa uume na dem m1 aliedhan anamsuck kumbe ni mafia then akmtupia penis mbwa alea

Au co hyo mkuu???
 
Mkuu wewe umeangalia hostel ipi ambayo haitishi?
Ya tatu machizi wa4 walienda club wakaopoa mastripper nachokumbuka m1 alizenguana nn na mlinzi ila kilinuka umo umoumo club ambapo kuna chamber ya mauaji aaargh hii muv nliangalia 2013 hv nmeshasahau baadhi ya matukio ila nachojua HAITISHI KABISAAAAAAA
 
Ha ha kweli umeiona.. Basi sawa mkuu
 
sikushauri uitafute.. utanishukuru baadae[emoji120]
Too late aisee nishaiangalia ni ya kipuuzi kinyama. Tofauti na saw ambayo ni ya kutisha lakini ukifuatilia kisa chake Ina fundisho kubwa moja tu, kuheshimu nafasi ya kuishi na kutofanya mabaya. Lakini hiyo movie Haina chakujifunza zaidi ya kuona Mambo mabaya tu. Very bad movie.
 
Ha haha
 
The Conjuring
The Nun
Japo ni kawaida hazitishi kiviile
 
Nikisoma baadhi ya comments kwenye moviebase nazidi kuogopa kuiangalia hiyo movie hakuna comment inayo reccomend kuiangalia hata moja aisee

A Serbian FilmView attachment 1837665View attachment 1837666
20210702_114145.jpg
 
Back
Top Bottom