Ni movie gani ambayo ulishawahi kuiangalia halafu baadaye ukajuta kwanini umeiangalia?

Kuna moja inaitwa Miracle in Cell no.7....hii ni moja ya movie inayohuzunisha sana.
hahaa hii movie niliiangalia kwenye bus la kilimanjaro, nilikua nimekaa na mdada kwenye siti, basi nikawa namuangalia machoni jinsi macho yalivyomjaa machozi, bahati nzuri mm nilishukua moshi, sikuingalia hadi mwisho, nilivyorudi dar nikawahadithia wana, nikawaambia waitafute alafu wanihadithie, nilishindwa kuimalizia kwa kweli
 
Mpaka sasa sijamuona wa kuvunja rekodi ya movie ya SAW. Ile movie Director na writers walitulia aisee!!!
 
Mie mwenyewe iliniliza.

Ila imeishia vizuri sana.
 
SAW. = Haifai
HELL RISER= Haifai
 
Movie ya Kikorea Ilikuwa inaitwa Fashion King Iliisha kiboya sana
 
Mkuu SAW na yenyewe naielewa ina mambo mengine unayaangalia kwa jicho moja ukiwa umeliminya,ila hii A serbian film inakuharibu mpaka kifikra na kihisia
Acha bas[emoji28]
 
Mimi movie ya nsyuka jamani movie inatisha balaa saw haioni ndani toka mwaka 2000 niiangalia mpka leo naogopa kulala peke angu ,Au kulala uku nimezima taa aisee director mussa banzi aliua sana
 
sio ile muvi wa yule prnst aliestaafu kisha akapewa tenda ingine ya dau kubwa!
akawa anapewa madawa y kumtoa akili.
akila mzigo anachinja na manzi??!!
au nimefananisha?
kuna sehemu mwishoni haikuwa na scene nzuri au ni ipi unasemea??
 
sio ile muvi wa yule prnst aliestaafu kisha akapewa tenda ingine ya dau kubwa!
akawa anapewa madawa y kumtoa akili.
akila mzigo anachinja na manzi??!!
au nimefananisha?
kuna sehemu mwishoni haikuwa na scene nzuri au ni ipi unasemea??
Mkuu ndo hiyo hiyo,we unaionaje hiyo movie mi nahisi sio movie ya kupendekeza mtu mwingine aiangalie,inafikirisha sana ile movie.
 
Naomba anaeweza akaiangalie alete mrejesho humu,au waliokwisha iangalia watie neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…