ile muvi haiko vile kiuhalisia kama unavyoitazama!Mkuu ndo hiyo hiyo,we unaionaje hiyo movie mi nahisi sio movie ya kupendekeza mtu mwingine aiangalie,inafikirisha sana ile movie.
Ha ha kuna Hostel part 1 mpaka 3 nilijuta kuangalia japo niliinjoy
Umeona Saw Mpya Inayoitwa"spiral From The book of saw"
😳😳Hostel inatisha nn mkuu??Ha ha kuna Hostel part 1 mpaka 3 nilijuta kuangalia japo niliinjoy
Mbn saw ya kawaida tu au yale style ya mauaji ndo inakutisha mkuu?SAW. = Haifai
HELL RISER= Haifai
Kidogo muv inayotisha ni ile ya Hassan ya yule jamaa hapend kuswali ila hzo zingine hamna matisho yyt yaleWakuu kwema?
Niende kwenye mada husika,nauliza hivi ni movie gani ulishawahi kuiangalia lakini baada ya kuisha ukajuta kwanini umeingalia kutokana na mambo ambayo umeyaona humo yanaweza kua mauaji,usaliti,uchawi n.k.
Mimi binafsi ni mpenzi wa kuangalia filamu ile sana na nimetazama nyingi sana lakini kuna movie moja mpaka leo hua najuta kwanini niliiangalia.Filamu yenyewe inaitwa A SERBIAN FILM.
Wakuu siwashauri muingalie hiyo movie kama roho yako ni nyepesi na kama kuna mdau alishawahi kuicheck hebu njoo utoe mawazo yako uliionaje.
Na pia hebu taja movie yako ambayo unajuta mpaka leo kuitazama
Nawasilisha
Mkuu wewe umeangalia hostel ipi ambayo haitishi?[emoji15][emoji15]Hostel inatisha nn mkuu??
Zote si zile wanafunzi wanaenda nchiMkuu wewe umeangalia hostel ipi ambayo haitishi?
Zote mbili ya kwnza wanafunzi wanaenda nchi nyngin kufika kule walienda club baadae kuna jamaa aliwapeleka hostel aliwaambia kuna madem shazi uko ndo matatzo yalipowakuta alipona m1 tu ambaye alikatika kidole then mwishon sijui ni namba mbili anakutana na jamaa aliemtesa akamkata kidole kama yy alivyokatwa then akamuua chiniMkuu wewe umeangalia hostel ipi ambayo haitishi?
KwikwikwikwiPorn
Nota Bene; Horror movies with friends are comedy AND Romantic movies with parents are horror.
Ya tatu machizi wa4 walienda club wakaopoa mastripper nachokumbuka m1 alizenguana nn na mlinzi ila kilinuka umo umoumo club ambapo kuna chamber ya mauaji aaargh hii muv nliangalia 2013 hv nmeshasahau baadhi ya matukio ila nachojua HAITISHI KABISAAAAAAAMkuu wewe umeangalia hostel ipi ambayo haitishi?
Ha ha kweli umeiona.. Basi sawa mkuuYa tatu machizi wa4 walienda club wakaopoa mastripper nachokumbuka m1 alizenguana nn na mlinzi ila kilinuka umo umoumo club ambapo kuna chamber ya mauaji aaargh hii muv nliangalia 2013 hv nmeshasahau baadhi ya matukio ila nachojua HAITISHI KABISAAAAAAA
Too late aisee nishaiangalia ni ya kipuuzi kinyama. Tofauti na saw ambayo ni ya kutisha lakini ukifuatilia kisa chake Ina fundisho kubwa moja tu, kuheshimu nafasi ya kuishi na kutofanya mabaya. Lakini hiyo movie Haina chakujifunza zaidi ya kuona Mambo mabaya tu. Very bad movie.sikushauri uitafute.. utanishukuru baadae[emoji120]
Ha hahaToo late aisee nishaiangalia ni ya kipuuzi kinyama. Tofauti na saw ambayo ni ya kutisha lakini ukifuatilia kisa chake Ina fundisho kubwa moja tu, kuheshimu nafasi ya kuishi na kutofanya mabaya. Lakini hiyo movie Haina chakujifunza zaidi ya kuona Mambo mabaya tu. Very bad movie.
Pamoja mkuuHa ha kweli umeiona.. Basi sawa mkuu
Asee hyo muv LAZIMA NIITAFUTE YAAN LAZIMA kwanza nambie naweza ipata wap piratebay au wap kwngine?Nikisoma baadhi ya comments kwenye moviebase nazidi kuogopa kuiangalia hiyo movie hakuna comment inayo reccomend kuiangalia hata moja aisee
A Serbian FilmView attachment 1837665View attachment 1837666View attachment 1837667